Hiyo yote ni kutafuta sababu ya kuachana na huyo jamaa yako!!!Jiulize haya:-
1.Wakati mnaanza mahusiano mlikubaliana kuangaliana simu zenu au hilo umelitunga wewe????
2.Kama yeye haangalii simu yako wewe kinachokuwasha ni nini,unadhani wewe ndio unampenda sana kuliko wewe.Kama hakupendi c angekuwa kashakubwaga kwani mmewekeana gundi?
3.Kuna mambo mengine ni private sana hasa yanayomuhusu yeye binafsi au na familia yake!!!wewe hayo wayatakia nini?
4.Naamini hii stori imetungwa ujue kama hiyo inawezekana au laa
5.Je umemsimulia mwenzio mambo yako yote(historia ya kiunyumba) ,kama bado msimulie kwanza
6.Tuko wengi ambao simu zetu haziguswi na mtu labda sijui iweje
Ushauri-ukitaka kusoma meseji za jamaa yako jipenyeze ukafanye kazi kampuni ya simu,nmc au kitengo gani kile utasoma zote na utasikia simu zote