Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,004
Hongera sana kwa kupanda Emirates....kuhusu ushauri kwa sasa sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namjibia mweka mada!!Baada ya kuyafahamu uliyoyaona kwenye simu na kutupiwa kibegi nje saa tano usiku bado unampenda?
Wanaume huwa tunachemkaga wapi kumfungulia mwanamke biashara kwenye stage ya uchumba? hizo hela si bora ule bata
watu wanajitoa muhanga kiongozi..usawa huu huu mtu anafungulia biashara mchumba..hizo hela kama nina wazazi ni mara 100 nikampa mama yangu alienilea toka udogoniKwa usawa Huu? Labda wanaume wenye pepo!