Ameniganda eti lazima nimuoe

Ameniganda eti lazima nimuoe

kaka pole.huyo bibie anafanya kazi? Kama hana,hiyo trabo anayokupa itegemee mara70 na kama ushawahi kupraktis u step faza ukapafom ndo kabsaaa...lakn kwnn akulazmishe umwoe? Au mzee invoice zake uliklia fasta sasa akichek haoni wa kulinganisha! Sasa ushauri wangu ni kuwa kama umeamua bas maanisha.sio akija unalamba kaperemende kake akiondoka unatwambia anakung'ang'ania.kaka hapo tegemea lolote lakini kuwa strong.kama bibie ni mtamaduni-mtamaduni bas jiandae kaka
 
Na wanawake wa kisasa eti ukipenda boga penda na ua lake. Hapo kijana akioa tu matunzo kwako hao watoto
ananiambia eti kwao hakuna njaa na watoto watatunzwa na babu yao.kwao mambo safi sana...wapo vema.
kweli naviziwa hapa
 
hahahahahah
unajua hapa mie kwanza nakulaumu wewe...wewe unaingia kwa mwanamke ambaye tayari kashazaa unadhani ayakuachia kirahisi tuu....huyo market yake kwisha haribika sasa wewe ulivyojiingiza tuu akaona mdio hapa hapa lol

sasa kusema kweli hawezi kukulazamisha unuoe ila sassa huwezi jua reaction yake itakuwaje....maana watu tunatofautiana .....brace urself for a long baattle!!!
sasa mara nyingi binadamu anaonaga mlanngo wakuingilia ila wakutokea haoni na anadhani itajipa tuu.....so lesson hapa.ni kama unataka kumkojolea demu be careful katika selection yako maana kweli hawezi kukulazimisha umuoe ila chamoto utakiona!!!!!![/QUOTE]

haaahaaahaahaaa...... kwenye mstari pamenivunja mbavu, sikirahisi mkuu.
 
ananiambia eti kwao hakuna njaa na watoto watatunzwa na babu yao.kwao mambo safi sana...wapo vema.
kweli naviziwa hapa

Mwanangu anakuzuga huyo kama kwao mambo safi kwa nn anakuganda?
Ukijipendekeza tu utakuja kujuta.
Fanya makosa yote duniani usifanye kosa kwenye kuoa.
 
We kijana ni FATAKI utawa*** wangap? Unajua ipo siku nawe yatakukuta umzalishe alafu umkimbie? Alafu eti ushauriwe? Koma akun'gan'ganie tu..safi sana mnapenda kudo lakini outcomez hamzitaki kwanin?

mkuu sijawahi kumpa mimba...soma vizuri. alizalishwa miaka mingi huko nyuma. mimi tulikuwa tunapeana raha tu, au kosa hatukuandikiana written agreement? no, tulikutana kiswazi swazi na ataachwa kiswaziswazi tu
 
Unajua mambo ya kulazimisha ndoa madhara yake makubwa sana.
Mwisho wa siku atasema anaenda kumsalimia mzazi mwenzie sijui utakataa?

fidel80 unaushauri mzuri sana...... mkuu ngoja nikugongee kitufe cha LIKES
 
Mwanangu anakuzuga huyo kama kwao mambo safi kwa nn anakuganda?
Ukijipendekeza tu utakuja kujuta.
Fanya makosa yote duniani usifanye kosa kwenye kuoa.

kuhusu kwao kuwa mambo safi ni kweli wapo safi ninawafahamu wazazi wake but huo utajiri ni wa wazazi. yaani yeye kapagawaa eti ndoa tu.
 
Alafu Hazole unaanza kunipa wasi na topic zako... Kwanza ilikua ni barmaind ambae anakung'ang'ania umuoe... Pili ilikua kutupa taarifa kua umepata mchumba (ambae nakumbuka hukunijibu kama ni yule barmaid ama lah!) Kupitia topic yako ya "ulazima wa kuoa" Hii topic has you on the hooks eeeh??

Habari yako Hazole (Sema mkuu kama kweli serious, ili kweli tutoe ushauri...)

ile topic ya ulazima wa kuoa nilikuwa nauliza tu kupata mitazamo mbalimbali. but mimi sijaoa bado na ndo nipo kwenye mchakato na changamoto ndo nyingi mkuu
 
fidel80 unaushauri mzuri sana...... mkuu ngoja nikugongee kitufe cha LIKES

ushauri mzuri? Unajua mtu akitaka ushauri siku zote huwa ashaamua anataka Go ahead ndo fidel80 anachofanya kwako ushaamua we achana nae ila mtindo wa kuchovyachovya acha oa kijana.
 
kuhusu kwao kuwa mambo safi ni kweli wapo safi ninawafahamu wazazi wake but huo utajiri ni wa wazazi. yaani yeye kapagawaa eti ndoa tu.

Sasa utajiri si wa baba ake na sio wa kwake, ukimuoa ndo atashawishi baba ake mpewe mali?
 
ushauri mzuri? Unajua mtu akitaka ushauri siku zote huwa ashaamua anataka Go ahead ndo fidel80 anachofanya kwako ushaamua we achana nae ila mtindo wa kuchovyachovya acha oa kijana.

Mi namwonyesha madhara yake, na kikubwa ndoa hailazimishwi, asijilazimishe kumuoa wkt yeye hana mpango huo
 
Hayo ndio matatizo ya kuonja onja...haya sasa mwenzio kanogewa
 
Habari ndugu zangu wana jf,
nina rafiki yangu wa kike tumekuwa wapenzi miezi 8 sasa, kiumri tupo sawa.ana watoto wawili mapacha alizaa akiwa na miaka 19. Mimi sijawahi panga kumuoa huyu binti, sasa kuanzia mwezi uliopita nikaamua rasmi kutengana naye. Nilikaa nae kuzungumza kwamba uhusiano wetu si wa milele(pia sijawahi kumwambia kwamba nitamuoa) so, kuachana kupo njenje.daaaahhhh kama nilichokoza nyuki vile, kaamua kuniganda, anataka awe anakuja home kwangu kila siku na simu haziishi.nimeongeza msimamo wangu kwamba sasa ndo basi maana imekuwa fujo sasa.
Jana kanipigia simu ananiambia "piga ua lazima unioe"
duh nikasema hapa kazi ninayo, jamani ushauri wenu maana ngoja werevu mseme huyu anang'ang'ania nini?
By any means siwezi muoa hata aje na jeshi la nato.
Thanks
Muulize mbona hakuolewa na huyo aliyemzalisha ,huyo anatishia nyau kaka uwezo upo mikononi mwako ,unapouwa nyani usimwangalie usoni,tahadhali usije umemwachie matunda yanayoiva baada ya miezi tisa halafu ndio unataka kukukata mti ,kama anayo basi hiyo imekula kwako
 
Alafu Hazole unaanza kunipa wasi na topic zako... Kwanza ilikua ni barmaind ambae anakung'ang'ania umuoe... Pili ilikua kutupa taarifa kua umepata mchumba (ambae nakumbuka hukunijibu kama ni yule barmaid ama lah!) Kupitia topic yako ya "ulazima wa kuoa" Hii topic has you on the hooks eeeh??

Habari yako Hazole (Sema mkuu kama kweli serious, ili kweli tutoe ushauri...)

wapo wengi wa hivi. nadhani ni kutokuwa na cha kufanya, basi wanapanga maneno halafu hata kumbu kumbu hawana
 
Back
Top Bottom