Ameniganda eti lazima nimuoe

Ameniganda eti lazima nimuoe

Oa huyo huyo, umemchezea miezi 8 kumbe huna mpango naye, unataka kumuoa nani sasa? Kijana bahati inakupita hiyoooo!!!!!

miezi 8!!!!!....watu wanakula utamu miaka 6 aafu wanakula kona,we unalaumu hako kamuda kafupi hivo!..
 
hahahaha, hii kazi kweli. Hata gaddafi alisema hivyohivyo bila kuchukua hatua. Nato wakija watakutafuta hadi sirte. solution Kimbilia niger au kwa chevez.
 
huyo kuna ki2 anataka kutoka kwako uskute anataka umlelee mapacha
 
Bora umweleze ukweli pia ulifanya kosa kumpotezea muda wake
 
Back
Top Bottom