Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

Utakua huujui utamu wake kusugua mbususu wewe[emoji4]
Mkuu, ukweli ni kuwa huwezi kumkomoa mwanamke eti kwa kusugua masaa. Ila ni huduma tu tunapata kwa kubadilishana na pesa. Mwisho wa siku wanafaidi pesa na sisi tunafurahia utelezi.
 
Vijana msidhani kutoa pesa ndio kipimo cha upendo, tena kutoa pesa kwa mtu ovyo bila bajeti. Mtu anasema hilo teni kitu gani wakati hana uwezo wa kuzalisha hilo teni.

Lakini pia kama tutajifunza kuishi kwa bajeti hizi mambo hazitatusumbua. Tatizo letu tunaishi tu ili mradi, hatuangalii maisha ya kesho. Hawa hawa wadada wakiona umepigika wanakukimbia.

Usitumie pesa zako kizembe, bila mipango, usipeleke pesa zako sehemu ambayo haina faida kwako. Kesho yako inategemea sana maamuzi yako ya leo, unaweza kuona 10k ndogo kama wadada wengi wanavyoenda kujibrand, ila hiyo 10k ukijumlisha na nyingine utaona faida yake baadae.
 

Mmmh aisee
 
Naipenda sana jf kuliko social network zote, ukiondoa WhatsApp bussines na twitter.

Sina mtandao mwngn wa kijamii zaidi ya hizo 3[emoji4]

Anyway,
Umeadimka Sana dada angu, au huwa unapita kimya kimya?

Mimi huwa nakuzoom tu… nipo kila siku humu
 
Jamaa anaonekana anaishi nyuma ya muda kbsa, eti leo ndo ameanza kuwajua wanawake kwamba Ni wapiga mizinga πŸ˜‚

Pole mkuu nenda katafute hela na ukishakuwa nazo wanawake wenyewe watakutafuta.
 
Wewe upewe sh ngapi uliwe?

Umeanza kunichunguza[emoji23][emoji23]

Nimemaanisha amejirahisi sana yaani ni very cheap… yaani unaomba elfu 7 afu baadae unaenda kuliwa si kama kujiuza huko

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeanza kunichunguza[emoji23][emoji23]

Nimemaanisha amejirahisi sana yaani ni very cheap… yaani unaomba elfu 7 afu baadae unaenda kuliwa si kama kujiuza huko

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada sio kila mtu ana uwezo wakiuchumi sawa na mwingine tumetofautiana Huyo dada unaweza kukuta kazi hana kwani asione elfu 7 kwake ni kubwa? Au unakuta na binti mdogo ambaye hana majukumu so usipende kumdharau mtu wakati ujui mazingira yake yakoje
 
Dada sio kila mtu ana uwezo wakiuchumi sawa na mwingine tumetofautiana Huyo dada unaweza kukuta kazi hana kwani asione elfu 7 kwake ni kubwa? Au unakuta na binti mdogo ambaye hana majukumu so usipende kumdharau mtu wakati ujui mazingira yake yakoje

Sijamdharau lakini elfu 7 ni ndogo sana angeweza kupata hata kwa marafiki ambao hawatamkula kuliko kujidhalilishaa hivyo
 
🀣🀣 nguvu za kiume zipo nyingi ukiwa na hela mfukoni za kumuenjoy mdada wa mjini au bush. Ukiwa huna pesa unaishi kwa hesabu nyingi sana mpaka unasahau kabsaa kupiga show vizuri
 
Povu Tena kama Huna uvumilivu usianzishe Uzi kilamtu anakuja na mawazo yake
Mm sio mdangaji na siwez kuwa na watoto wanne nikamdangie nani Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa hutaki tena ujibiwe? Yaani unataka mtu anyamaze wakati umeandika? Watoto wa nne kila mmoja ana baba yake si udangaji huo? Mi nakujibu kama kawaida unapotetea wenzako na sisi tunakushauri kuwa hayo si maisha. Unapomzalia kila mwanaume mtoto unadanga pia kwa style hiyo ya kuhudumiwa watoto. Au wote umemsingizia mmoja?😁 Maana wanawake wa aina yako huwa hamna aibu kabisa....
 
Nakuheshimu sana sitaki tufikie kwenye matusi kma unatongozaga wauza k ni wew na hakunasehemu nimtukna nimetoa mawazoyngu tu km walivofanya wengine tuheshimiane
Nami nmetoa mawazo yangu kulingana na yako. Mbona sijakutukana?KUNGURU SI ANAFAHAMIKA KWA RANGI NA SAUTI YAKE? unamjua tu si huwezi mfananisha na njiwa.so mimi kunguru nitampa mizoga na njiwa nitampa mtama. 😁😁😁😁
 
Ukitoa pesa ndio zinakuja nyingine mkuu, kiuhalisia wanaume tumeumbwa kutoa na wao wameumbwa kupokea.
Huwa wa aina yako mnatoa kila kitu ....🀣🀣🀣🀣
 
ukiwaendekeza hawa viumbe unapata hasara kabisa dawa ni kuwapa makavu live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…