Sahii kabisa chief[emoji4][emoji106],Na hakuna me wa kutoa pesa bure, nikimpa manake nataka utelezi. Ndio maana dada zetu wananyanduliwa sana tu.
Kwangu the best thing ni kutoana siku ya kupeana. Nikimtafuta kama nina nyege zangu naandaa uchakavu kabisa ili tukimalizana naitupia kwenye pochi yake. Baada ya hapo tusitafutane hadi siku nikiwa na ugwadu.
Kuna vitu ukivikubali Utakuwa hauna hofu ya chochote bali utqjivunia uanaume wako,ndo maana vijana mnasema hamuoi sio sabbu ni wanawake ila ubahili na uchoyo mlonao mnawaza kulisha familia mnaona mzigo
Wanaume waliokamilika hawazunguzii kulalamika kuombwa elfu kumi ila wanatoa bila kuombwa ni sehemu ya mjukumuyao Kwa wanawake zao
Mje tu mnipige
๐๐๐๐Kwaiyo mpenz wako haumuhudumii au unawafurahisha wenzio hapa ๐Basi ndio tukubaliane, hakuna kuombana pesa mpaka pingu zifungwe! Beyonce anaimba akituambia "I ain't your momma" nasisi tunasema we ain't your fathers
Huwa siwarembei wanawake wa namna hii....
Hapo nimekuelewa lkn kusema nguvu za kiume kupungua sabbu ya elfu kumi hapana ๐mpunguze kutongoza tongoza Sasa ๐Hujamwelewa mtoa mada, shida sio ninyi kutuomba hela, Kiuhalisia sisi wanaume tunapenda kuwapa nyie wanawake hela, ila Tatizo nyie wadada mnaoombaga hela mwanzoni mwa mahusiano mara nyingi mnakuaga hamna hisia na sisi, hamtupendi na mna nia mbaya na sisi, sanasana mnatuonaga Sisi wanaume washamba Na wajinga sana mnapotuombaga hela na tukawapa.
Namwelewa mtoa mada povu lake linatoka wapi, hajachukia kuombwa hela na huyo mdada ila ni huko kwenye mahusiano yake aliopita alikutana na wadada wengi sana wa type hio wakampiga na kitu kizito.
Hii shida ya sisi me kuombwa ombwa hela nadhani itaisha sisi jinsia ya kiume tukiacha kutongoza tongoza ovyo kila mdada tunaemuona, maana inasababisha uhitaji wa papuchi kua Mkubwa kuliko upatikanaji, ivyo Kupeleka sisi kulipia utelezi sophy27
Huyo Ni Mdangaji,sophy27 huwajui wanawake wenzako vizuri sisi Wanaume ndio tunakutana na vimbwanga vya hatari binafsi nilikuwa haya masuala napingana nao ila baada ya kunikuta nimeona nikae upande wa Wanaume wenzangu unajua best shida si kwamba Wanaume ni wabahili au wanaroho mbaya tabia za wanawake wengi zimewageuza Wanaume kuwa hivi ngoja nikupe kilichotokea kuna kipindi fulani nilikuwa natafuta demu wakuanzisha nae mahusiano nikabahatika nikachua namba ya demu mmoja hivi nikawa nachart nae baada ya kupita muda fulani nikamuomba out hapo sijamtongoza kumbuka Hilo akaniambia nimtumie nauli aje sikuwa na hiyana nikamtumia 5000 ya nauli demu hakutokea akaniambia amepata ajali mguu wake umevunjika akaniomba hela ya matibabu nikampa elfu 40.
Baada ya kupita kama wiki 2 hivi nikaomba Tena miadi hii alikuja tunakutana sehemu kama sijakosea ingawa sikumbuki vizuri ila nachokumbuka demu alikunywa kuna kinywaji hivi kinaitwa sijui bava nini sijui alipiga kama 6 wakati mimi nilikunywa coca mbili maana mimi sio mpenzi wa bia na tukapiga msosi najinsi nilivyomcheki kwenye miguu yake hata alama yoyote ya jeraha ila nikaamua kupoteza baada ya kumaliza nikataka kumwambia hisia zangu kwake kabla ya hapo akaanza kuniambia shida zake Tena eti anadaiwa kodi ya miezi 2, akaongeza kuwa mzee wake anataka kuja dar hela yeye hela hana, dawa ya mguu wake zimeisha anaomba nimuongezee Tena anunue nyingine mwisho akasema mdogo wake mdogo anadaiwa hela ya ada yeye ndio anamtegemea so nimsaidia vitu vyote hivyo kaongea kwa wakati mmoja tufanye sophy27 wewe ungekuwa mimi kwa hayo mazingira utamchuliaje huyo manzi?
DeepPond
rikiboy
mzabzab
Hivi unamtumiaje mtu kufidia thamani ya pesa ๐ ingekuwa unamtumia kukuzalishia pesa hapo sawa ila kingono how ๐คท usishangae unamtumia unavyojua ukimaliza nusu saa baadae anaenda kwa mwingine ๐Mpe pesa,
afu mtumie ufidie thaman ya pesa yako
Mwanzo wa ngoma ni lele. Soma uelewe. Mtu anayefanya kazi,anaishi kwa wazazi. Kuonana nami ndani ya 3 days anitangazie shida....sitaki wanawake wenye shida hizo. Na sikuwa na lengo la kumla. Soma mbona imeandikwa kwa kiswahili chepesi tu?inaeleweka.nami nimemjibu kiwepesi kabisa...๐ Muwe na subra basi. Siyo kudhani kila mtu ananunua utelezi.Sio kwamba nakupinga mtoa mada,
Bali vitu Vingine Wanaume tujiongeze,
Tuache kujitia aibu ndogo ndogo Kama hizi
Kizinga Cha elfu 10 sio Cha Kuja kuanzishia Uzi,Tena kwa HEADING ya kutishia usalama wa nguvu zako za kiume.
Nikuulize mtoa mada,
Kwani huyo mdada Lengo lako lilikua kumuoa au utelezi wake?
Wanaume tujifunze kula na vipofu,
Kama Lengo lako Ni utelezi tu, Sioni tatizo akikupiga kizinga kidg kugharamia uchafuzi (usafi wa mazingira)
Tena heri uyo wako,
kaomba Ela ndogo ambayo naamini Kama uko serious unataka utelezi wake sio swala la kujiuliza Mara mbili.
Huyo sio mpenz alikuwa anadanga hapo ukubali ulikuwa danga la mtusophy27 huwajui wanawake wenzako vizuri sisi Wanaume ndio tunakutana na vimbwanga vya hatari binafsi nilikuwa haya masuala napingana nao ila baada ya kunikuta nimeona nikae upande wa Wanaume wenzangu unajua best shida si kwamba Wanaume ni wabahili au wanaroho mbaya tabia za wanawake wengi zimewageuza Wanaume kuwa hivi ngoja nikupe kilichotokea kuna kipindi fulani nilikuwa natafuta demu wakuanzisha nae mahusiano nikabahatika nikachua namba ya demu mmoja hivi nikawa nachart nae baada ya kupita muda fulani nikamuomba out hapo sijamtongoza kumbuka Hilo akaniambia nimtumie nauli aje sikuwa na hiyana nikamtumia 5000 ya nauli demu hakutokea akaniambia amepata ajali mguu wake umevunjika akaniomba hela ya matibabu nikampa elfu 40.
Baada ya kupita kama wiki 2 hivi nikaomba Tena miadi hii alikuja tunakutana sehemu kama sijakosea ingawa sikumbuki vizuri ila nachokumbuka demu alikunywa kuna kinywaji hivi kinaitwa sijui bava nini sijui alipiga kama 6 wakati mimi nilikunywa coca mbili maana mimi sio mpenzi wa bia na tukapiga msosi najinsi nilivyomcheki kwenye miguu yake hata alama yoyote ya jeraha ila nikaamua kupoteza baada ya kumaliza nikataka kumwambia hisia zangu kwake kabla ya hapo akaanza kuniambia shida zake Tena eti anadaiwa kodi ya miezi 2, akaongeza kuwa mzee wake anataka kuja dar hela yeye hela hana, dawa ya mguu wake zimeisha anaomba nimuongezee Tena anunue nyingine mwisho akasema mdogo wake mdogo anadaiwa hela ya ada yeye ndio anamtegemea so nimsaidia vitu vyote hivyo kaongea kwa wakati mmoja tufanye sophy27 wewe ungekuwa mimi kwa hayo mazingira utamchuliaje huyo manzi?
DeepPond
rikiboy
mzabzab
Watch your language!Ndo hizo tabia uache dada... We umeona amesema anataka kuongezea kununua dawa? Mnakuwa warahisi sana .mnaliwa kwa sababu ya kujirahisisha. Nimesubiri mpaka leo sijasikia kafa sababu alikosa dawa. Nimemwambia sitaki mizinga ya reja reja. Na muache hizo tabia wewe Danga kubwa na wenzio. Mbwa nyie...๐
Bob huyu dem ni mkali sana. Sema tu amekosa akili. Mimi nina tabia hata demu awe mkali vipi akikosa akili siwezi mla. Naona ataniambukiza upumbavu wake[emoji3][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Duh! Ila kuna wanaume makauzu jamani. Natamani wanaume wote tuwe hivyo adabu itakuwepo... Sema inategemeana na aina ya mwanamke. Kuna mwanamke akikuomba pesa unashukuru Mungu kwanza huamini kama ni yeye. Ila kuna wale tunaofanana nao ndo wanakutanaga na majibu ya hivyo [emoji2][emoji3][emoji2] Dunia haiko fair kabisa hii
Hahahaaa๐!!Sie tukikwama mbona hamtukopeshi?
๐๐๐ tubakie kwenye mada. Mimi siyeniliombwa๐๐๐๐๐๐Kwaiyo mpenz wako haumuhudumii au unawafurahisha wenzio hapa ๐
Nyie wasagaji mna watu wa aina yenu...mimi huwa nawapasua tu...wasagaji na wadangaji. Siwawekei mate kabisa....nawachana tu kinyama..๐Watch your language!
Bi mkubwa wako anaweza kuwa mke wangu wanne na ukanita Baba kama wenzio..
Ni vizuri umchukue ambae unaweza mmudu. Ilikua ni sahihi sana kumjibu ulivyomjibu, lakini haikua na ulazima uje kutuonesha huku. Wengi wametoka katika malezi mbalimbali. Hivyo ndivyo alivyolelewa. Ukiona hamuendani basi muache tafuta ambae unaemuweza. Kuna wengine wanatamani huyo anaeomba elf 10๐ maana kuna wanaopigwa pesa nyingi unashangaa. Wewe mchukue ambae unamuweza wewe bila kushirikisha wengine brotherHuyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza shida zake kwangu. Huyu dada alianza kunitoa hamu mapema sana. Nikawa hata nikikaa naye sijisikii hamu. ila nimemchana liwe funzo kwake na wenzie.
View attachment 2332307
Hivi unajua maana ya kumtumia mwanamke? Yaan vile kumshughulikia?Hivi unamtumiaje mtu kufidia thamani ya pesa [emoji3] ingekuwa unamtumia kukuzalishia pesa hapo sawa ila kingono how [emoji1745] usishangae unamtumia unavyojua ukimaliza nusu saa baadae anaenda kwa mwingine [emoji3]
Kama kumi si pesa asingeomba maana angekuwa nayo.๐ Muache kudanga wanawake.Efu kumi kitu gani jamaa!??..ungemuambia kistaarabu tu angekuelewa..yan ten tu mze unatokwa povu kiasi hicho??..
Sms ya uyo dem sio ya mtu mwenye shida niya mtu alie zoea ,ina onesha ni tabia yake kuomba kuomba hela ...binafsi ata mimi pesa yangu uwa sitoi kizembe kijinga jinga tu kisa uchiMkuu elfu kumi umemtolea povu dada wawatu,Kama alitaka kuongezea akanunue dawa au hitaji muhimu alafu baadae yuko hospital hoi itakuaje.
Mkuu ungetoa kama sadaka na kama tabia ingejiludia. Ungeuliza na majibu yakiwa ya hovyo unge mpayukia; Kilaza mkubwa.
Mwenyezi Mungu akusamehe wewe na walio kulea...Nyie wasagaji mna watu wa aina yenu...mimi huwa nawapasua tu...wasagaji na wadangaji. Siwawekei mate kabisa....nawachana tu kinyama..๐