Amenilamba vibao, nifanyeje?

Wanajamiiforum mwanamke akikulamba vibao (kukulapua Makofi mwanaume) ufanyejee?
Je, mi mke wako, mchumba au hawala?
Tatizo liko kwako na utaendelea kuchakatwa makofi mpaka pale akili ikukae sawa.

Learn to be a gentle, I mean real gentleman, mwanaume hakusonywa TU na mwanamke yaani anaanzia wapi?
 
Nifundishe kaka nifanyeje
 
Mkuu unaradiate feminine energy. Yaani mwanamke mpaka akupige mwanaume maana yake amekuona mpo sawa na anakumudu. Kiufupi yaani anakuona kama mwanamke mwenzake. Anza kueradiate masculine energy ili heshima iwepo.

Mimi naona maajabu kuona mwanaume mwenzangu anapigwa na mtoto wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…