Amenilamba vibao, nifanyeje?

Inatakiwa uachane naye Ila kwa Mila za kikwetu. Sijui kwenu Ila Kama mmesoma mmeelimika na mmnaishi kizungu nadhani unapotezea,unasema thank you baby
 
Safari nyingine akikupiga kofi anguka chini na kuzimia kama Haji Manara.Asipokunyanyua muache mchumbie rafiki yake.Tahadhari usimpeleke Dubai.
 
Shoga hilo
 
Safari nyingine akikupiga kofi anguka chini na kuzimia kama Haji Manara.Asipokunyanyua muache mchumbie rafiki yake.Tahadhari usimpeleke Dubai.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani mafundisho ya dini yako yanakutakaje? Ukipigwa kibao shavu moja unampa na lingine aliwashe kibao, au sivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…