Ameniomba turudiane nimemkatalia!


nahisi ungesoma tanzania chuo kingekusaidia zaidi hiko cha usa kinakufanya kuwa poyopoyo
ungesoma usingeuliza swali kama hili tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Kwanza

ameshaolewa
pili unatafuta mchumba
tatu

utaolewa kuwa makini kuna wanawake zaidi ya magangster dear ...huyo alishakuwa mke wa mtu sidhani anja kipi kipya kinachpokufanya wewe umrudie akuwache those days
all the best
 
Piga chiiiiiiiiiiniiiiii!
Araaaaaa! Unaniudhi,usaliti m'baya saaana.
 
Nawashukuru sana wana jukwaa hili la mahaba! Kwa kweli ushauri wenu ni wa muhimu sana! Nasema asante tena na tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…