Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

Akamuombe hela baba yake au kaka yake.. kauli ni moja tuu.
Akamuombe hela Babu yake, Mjomba yake, Bibi yake, Shangazi yake, Dada yake, hao hapo akawaombe sio anataka kufungua Kikoba Kausha Damu kwa watu wengine kisa amebeba kipochi manyoya hii tabia ife nasema tena km wapo humu wenye hii tabia ya kukausha wanaume damu waacha kabisa na kibaya sijasikia ikipigiwa kelele
 
Inategemea na mlianzaje mahusiano. Kama ulinza ukiwa juu mantain your status usimzalilishe binti wa wawatu. Nachofahamu wanawake wengi ni waelewa sana, ukikaa naye na kumueleza ukweli sidhani kama atakataa kubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…