Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #21
Alinitumia mwenyeweAlikutumia hiyo orodha ghafla au ulimwambia akupe mahitaji yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alinitumia mwenyeweAlikutumia hiyo orodha ghafla au ulimwambia akupe mahitaji yake?
Tulichati asubuhi, alafu jioni akanitumia hiyo orodhaAlikutumia hiyo orodha ghafla au ulimwambia akupe mahitaji yake?
I mean mlikuwa mnachat mpaka akakutumia hiyo orodha?
Kwahiyo hata akivikubali ndio atakua anampendaMnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Na wewe unaamini huwa wanapenda hawa?Kwahiyo hata akivikubali ndio atakua anampenda
Akamuombe hela Babu yake, Mjomba yake, Bibi yake, Shangazi yake, Dada yake, hao hapo akawaombe sio anataka kufungua Kikoba Kausha Damu kwa watu wengine kisa amebeba kipochi manyoya hii tabia ife nasema tena km wapo humu wenye hii tabia ya kukausha wanaume damu waacha kabisa na kibaya sijasikia ikipigiwa keleleAkamuombe hela baba yake au kaka yake.. kauli ni moja tuu.
EEeh si wewe umesema kama hampenxi hatavipokea. Msaidie kununua muoneshwe upendoNa wewe unaamini huwa wanapenda hawa?
Hapa point ni kwamba hivyo vitu anavitaka, eti kwamba hampendi anamkimbiza ni uongo!EEeh si wewe umesema kama hampenxi hatavipokea. Msaidie kununua muoneshwe upendo
Win win situation or both sides to score goals [emoji109]Na wewe orodhesha mahitaji yako!?
Yes anavitaka sijakataa, lakini kwake ni advantage kwa sababu ameonesha hana cha kupoteza kwa jamaaHapa point ni kwamba hivyo vitu anavitaka, eti kwamba hampendi anamkimbiza ni uongo!
😂 😂 😂 😂 😂Tulichati asubuhi, alafu jioni akanitumia hiyo orodha
Kwahiyo wewe umeamuaje?
MeaningControl C control v
Nunua hiki kama hataki achana nae4. Kiatu cha elf 50