Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

Huyo mshauri awahi ile hospital ya wagonjwa wenye matatizo ya akili akiendelea kuwepo mtaani kwenu anaweza kujidhuru au kudhuru watu wengine.
 
Mnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Ata press order nyingine kubwa zaidi mwanamke yeyote anaetanguliza materials kama sababu ya kukupa penzi ni hakupendi infact anakuchukia mno ila hawezi kukwambia
 
Mnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Anapokea mpaka pale utakaposhindwa kumpa vingine atakavyoomba ndio unapigwa chini mazima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…