Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

Asubuhi mlichat kuhusu nn? Maana hiyo screenshot yako inaonekana ni kama vile anakupatia descriptions za begi na price. Yani ni kama vile anajibu msg yako
Screenshot_20240116-195310.png
 
Huyo mshauri awahi ile hospital ya wagonjwa wenye matatizo ya akili akiendelea kuwepo mtaani kwenu anaweza kujidhuru au kudhuru watu wengine.
 
Mnaosema hampendi anamfukuza, hivi akipewa hivyo vitu atakataa?
Ata press order nyingine kubwa zaidi mwanamke yeyote anaetanguliza materials kama sababu ya kukupa penzi ni hakupendi infact anakuchukia mno ila hawezi kukwambia
 
Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.

Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini.

1. Simu ya laki saba
2. Kusuka mtindo wa elfu 70
3. Begi la laki moja
4. Kiatu cha elf 50
5. Bundle la elfu 30 wakati hakuna Cha maana anachokifanya online
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom