Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.
Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini.
1. Simu ya laki saba
2. Kusuka mtindo wa elfu 70
3. Begi la laki moja
4. Kiatu cha elf 50
5. Bundle la elfu 30 wakati hakuna Cha maana anachokifanya online