Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
Hii imekaa vipi wakuu!?
Kuna dada mmoja hivi, nilionana nae kazini kwangu miaka hiyo, 2018 wakati nipo Dar Es Salaam kipindi hicho.
Tukazoeana Sana. Chating kwa wingi mno. Nikaanza kumpenda Ila kila nikimtongoza ananitolea nje, anasema yeye ana mtu tayari.
Sasa mwaka 2020 nikahamia Dodoma kikazi. Lakini mawasiliano na yeye hayakuisha... Tuliendelea kuchati na siku moja moja huwa namtongoza tongoza hata kiutani..
Sasa hapo juzi kati, nikamtania kuwa Nina hamu kichizi ya ku-do, akanijibu yeye hawezi kunisaidia chochote kwanza yupo mbali na hata angekuwa karibu asingeweza coz ana mtu. Sababu zile zile..
Jioni ya Leo nimemuambia tena Nina mihamu akasema Cha kunisaidia anaye mdogo wake anasoma Mzumbe Morogoro Ila anafanya field Dodoma, kama nataka amwambie mdogo wake aje anisalimie halafu baada ya hapo nitajiongeza Mimi mwenyewe Ila tu niwe serious na mdogo wake..
Kanitumia picha za mdogo wake ni mkali kichizi japo hamfikii dada yake.
Sasa wakuu kusema kweli Mimi nampenda dada yake, vipi nipige huyu mdogo!?
Au niendelee kurusha ndoano kwa dada mtu!?