Amenipa mdogo wake

MITHALI 7

1 Mwanangu, shika maneno yangu
na kuzihifadhi amri zangu ndani yako.
2 Shika amri zangu nawe utaishi;
linda mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako.
3 Yafunge katika vidole vyako;
yaandike katika kibao cha moyo wako.
4Mwambie hekima, “Wewe ni dada yangu,”
uite ufahamu jamaa yako;
5 watakuepusha na mwanamke mzinzi,
kutokana na mwanamke mpotovu
na maneno yake ya kubembeleza.
6Kwenye dirisha la nyumba yangu
nilitazama nje kupitia upenyo
kwenye mwimo wa dirisha.
7 Niliona miongoni mwa wajinga,
nikagundua miongoni mwa wanaume vijana,
kijana asiye na akili.

"mimi ni muislamu"
 
Huu sio uzinzi, ni uasherati. Uzinzi ni kuwa umeoa/umeolewa halafu unalala na wake/waume za watu!
 
aiseeee Mh Mwigule ebu ongezaa tozo... hii trash why why why matumizi mabaya ya bando na tozo brother ongeza ili watu kama hawa wasiwepo JF
 
Mkuu.. natumai hadi sasa wadau watakuwa wamesha litazama hilo. Sasa kaagize konyagi unywe, alafu uone lipi bora.
 
Piga wote mkuuu
 

Nakazia📌🔨

MITHALI 6:32​

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 

Kwahiyo ushaungwa😃😃😃
 
Ni ww au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…