Amenipa mdogo wake

Mkuu komaa na dada yake huyo,nipe namba za mdogo wake pm,sisi wanaume huwa hatubaniani
 
Sio kila kitu ni mtego tafsiri mojawapo class yake kubwa sana kwako, ita mdogo wake Kaa nae sehemu date twice or thrice dinner unachelewa sana kula kula mbele huko utajiongeza
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe,halafu akishapitiwa ataanza kusema yani wanaume wote ni waongo na malaya.Hivi mpk unafikia umri huo,huwezi kujua kuwa the more unavyompa mwanaume room ya kuwa karibu na wewe na kukuletea utani mwisho wa siku utaingia line,tena kwa picha hii ninavyoiona huyu jamaa atakuja kuwapitia wote mtu na dada yake...
 
Mdogo mtu tayari ila nimemwambia asimwambie dada yake
 
Mzee wa kupambania kweli umenipambania mkuu
 
Wakati mwingine ndo nia yao ili wale pesa vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…