Kaa nayo, atakuja kuichukua huku ame-make up mind yake. Unampa rafiki yake ndiye aliyekupa? tumia bwana ndiyo mafao yakoTnx 4yo advice bt kuendlea kukaa nayo naona nazidi kujiumiza cz nampenda ila sihitaj kuwa na kitu chochote ktachonifanya nimkumbuke das y nkataka kumpa best yake mrudishie
Ukiona hivyo hana shida nayo kwa sasa au anazo nyingine so kaamua akusaidie tu kiroho safi kwa hiyo usijidanganye kuwa naye anakupenda
Jamani alikupa kwa roho safi,na kama umeona anakufanyia snema ili arudi haya we kaa na mawazo hayo,kwani mkiwa marafiki wa kawaida sio tamu mpaka mvuane nguo ndio inanoga?
Mimi nina mawazo kama hayo. Kuiwacha haimaanishi kuwa ni chambo cha kuwa arejee tena, bali sababu tosha ya kutorejea tena hapo. Kimlete nini wakati hata modem ameshakuwachia. Njia pekee ni kuanza upya, uwache kumsumbua. Ikiwa anakutaka kweli mwache aendelee yeye pale ulipofika wewe. Jifunze kuheshimu HAPANA ya mwenzako. Ukiendelea kusisitiza kwa mtu asiyekutaka unaweza kupoteza hata huo urafiki.How about she needed you as a friend and not as partner/in relationship?? na kufanya hivyo umemdissapoint na akaona unatumia kisa cha kuwa chumbani kwako kumseduce!!? she was shocked, dissapointed and didnt expect what you did thats why hata hiyo modem hana haja nayo tena!!! kaa nayo tu na huenda ikiwa ule usemi wa kiswahili umekukuta ndungu ( unapoteza mwana na maji ya moto) wapo wanawake wengine tuwachukulie kama mabest tu na sio kila unaemuona umtamani! kisha jaribu kutofautisha kumpenda na kumtamani!!!
Pole Mwamba
Wiki moja iliyopta nlmuomba modem yake niitumie akanipatia bila tabu sasa juzi alikuja kwangu katka kupga stori za hapa na pale kwa kuwa tulikuwa chumban kwangu nkaona ngoja nijaribu kwa mara nyingne kumtongoza,akakataa tena./QUOTE]
kwa mistari ihi wewe ndio unaleta picha la kihindi kwa huyo gashi,we unatongoza mara mbili kama mechi away umetoswa na home kakugaragaza.yaaaani alipokuja chumbani ulitakiwa kufanya nae colabo mkuu.
Demu anaingia geto anatoka salama na mara pili tena hivyo hivyo acha kuwa butu kijana atakuona boya mademu wengine bila kutumia nguvu kidogo hauli mzigo atakaporudi kuja kuchua mzigo wake usiniangushe kijana
nipe mi hiyo modemu nimrudishie.
Demu anaingia geto anatoka salama na mara pili tena hivyo hivyo acha kuwa butu kijana atakuona boya mademu wengine bila kutumia nguvu kidogo hauli mzigo atakaporudi kuja kuchua mzigo wake usiniangushe kijana