Amenitosa ila kakataa kuchukua mali yake

Amenitosa ila kakataa kuchukua mali yake

Kaa nayo, atakuja kuichukua huku ame-make up mind yake. Unampa rafiki yake ndiye aliyekupa? tumia bwana ndiyo mafao yakoTnx 4yo advice bt kuendlea kukaa nayo naona nazidi kujiumiza cz nampenda ila sihitaj kuwa na kitu chochote ktachonifanya nimkumbuke das y nkataka kumpa best yake mrudishie
 
Kwahiyo unataka tukupe sound za kumpiga ama unataka tukusaidie kumshauri akukubalii maana sijaona sababu ya kuweka hapa jf wakati umesema kashakukataa[/QUTHANKS 4 YO TYM!
 
Huyo dada,kitumbua kinamuwasha,so akija tena gheto,msaidie kukikuna.over
 
How about she needed you as a friend and not as partner/in relationship?? na kufanya hivyo umemdissapoint na akaona unatumia kisa cha kuwa chumbani kwako kumseduce!!? she was shocked, dissapointed and didnt expect what you did thats why hata hiyo modem hana haja nayo tena!!! kaa nayo tu na huenda ikiwa ule usemi wa kiswahili umekukuta ndungu ( unapoteza mwana na maji ya moto) wapo wanawake wengine tuwachukulie kama mabest tu na sio kila unaemuona umtamani! kisha jaribu kutofautisha kumpenda na kumtamani!!!
Pole Mwamba
 
Ukiona hivyo hana shida nayo kwa sasa au anazo nyingine so kaamua akusaidie tu kiroho safi kwa hiyo usijidanganye kuwa naye anakupenda

Mpe moyo mwenzio bwana, may b she love him so kamuachia modem kwa mtego tu.
 
Jamani alikupa kwa roho safi,na kama umeona anakufanyia snema ili arudi haya we kaa na mawazo hayo,kwani mkiwa marafiki wa kawaida sio tamu mpaka mvuane nguo ndio inanoga?

Sasa utamu utatokea wapi wakiwa wamevaa nguo?
 
How about she needed you as a friend and not as partner/in relationship?? na kufanya hivyo umemdissapoint na akaona unatumia kisa cha kuwa chumbani kwako kumseduce!!? she was shocked, dissapointed and didnt expect what you did thats why hata hiyo modem hana haja nayo tena!!! kaa nayo tu na huenda ikiwa ule usemi wa kiswahili umekukuta ndungu ( unapoteza mwana na maji ya moto) wapo wanawake wengine tuwachukulie kama mabest tu na sio kila unaemuona umtamani! kisha jaribu kutofautisha kumpenda na kumtamani!!!
Pole Mwamba
Mimi nina mawazo kama hayo. Kuiwacha haimaanishi kuwa ni chambo cha kuwa arejee tena, bali sababu tosha ya kutorejea tena hapo. Kimlete nini wakati hata modem ameshakuwachia. Njia pekee ni kuanza upya, uwache kumsumbua. Ikiwa anakutaka kweli mwache aendelee yeye pale ulipofika wewe. Jifunze kuheshimu HAPANA ya mwenzako. Ukiendelea kusisitiza kwa mtu asiyekutaka unaweza kupoteza hata huo urafiki.
 
Wiki moja iliyopta nlmuomba modem yake niitumie akanipatia bila tabu sasa juzi alikuja kwangu katka kupga stori za hapa na pale kwa kuwa tulikuwa chumban kwangu nkaona ngoja nijaribu kwa mara nyingne kumtongoza,akakataa tena./QUOTE]
kwa mistari ihi wewe ndio unaleta picha la kihindi kwa huyo gashi,we unatongoza mara mbili kama mechi away umetoswa na home kakugaragaza.yaaaani alipokuja chumbani ulitakiwa kufanya nae colabo mkuu.
 
Demu anaingia geto anatoka salama na mara pili tena hivyo hivyo acha kuwa butu kijana atakuona boya mademu wengine bila kutumia nguvu kidogo hauli mzigo atakaporudi kuja kuchua mzigo wake usiniangushe kijana

fernando torres.
 
Teh!Apige mtu ngwara?
 
Yule anaesema wanawake hatupendi amenoa, u cant be us, so u dnt av a clue..kuhusu mchango wangu ni kwamba anaweza kuwa anakupenda au asikupende au mambo ya fid q<usinikubal harakaharaka>
 
acha utoto hiyo moderm kwani sh ngapi nadhani chini ya sh 25, kakuachia tu ili umkumbuke lkn sio kigezo eti atarudi
nlidhani kakuachia gari au nyumba kumbe moderm lol
 
Huyo wako sema tu humuandalii ma env. Mazuri.acha uzembe hana la kuringa nalo huyo.
 
Huyo wako,Ila papara zako zitamkimbiza.Mpo sebuleni,Modem aifuatwe chumbani?.Ulitaka kumfosi kula nae Tundi kisanii wewe.Mfanye rafiki polepole ata fall in love nawe...au unataka hit and run?
 
Back
Top Bottom