Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Ananiletea sheria za kiwaki ambazo hata kwenye taurati hazipo. Eti kabla ya kufanya mapenzi ni lazima tukakate/ akakate kibali kutoka kwa Mchungaji wake ambacho kitakuwa na muda wa kuanza na kumaliza.
Ni wiki sasa nimevumilia hilo, akija na hicho kibali, mtapiga magoti muombe sana, muda ulioandikwa kwenye kibali ukiisha ndo mwisho wa tendo, kibali huwa kinakuja na muda usiozidi lisaa, baada ya hapo mtakemea kwa uovu mlioufanya ndani ya lisaa lizima kisha mashuka yote na nguo ulizozivaa siku hiyo zitakwenda kulowekwa kama sio kutupwa. Anafua sasa, mvivu kama nini!
Anakwambia cha asubuhi ni dhambi, kwamba huwezi anza siku kwa kumtukana Mola. Ameondoka asubuhi ya leo kisa nimemlazimisha cha asubuhi
Akienda church saa 10 unaambiwa anarudi saa 2 kasoro, yaani ni sawa ananiwahi dakika 10 tu kabla ya mimi kufika, ikifika saa 4 anakwambia anaenda kwenye mafunzo ya kanisa ya kinamama, hapo atarudi saa 7 usiku.
Halafu anakwambia tuhame mtaa kwa kuwa usiku anakutana na akina dada wanaojiuza, eti wanamwaribia utakatifu wake anaotoka nao kanisani, anasema tuhamie mtaa X
Je, huu ni uungwana?