Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amri ya sita si inasema MSIZINI au mimi ndo sielewi?Ananiletea sheria za kiwaki ambazo hata kwenye taurati hazipo. Eti kabla ya kufanya mapenzi ni lazima tukakate/ akakate kibali kutoka kwa Mchungaji wake ambacho kitakuwa na muda wa kuanza na kumaliza.
Ni wiki sasa nimevumilia hilo, akija na hicho kibali, mtapiga magoti muombe sana, muda ulioandikwa kwenye kibali ukiisha ndo mwisho wa tendo, kibali huwa kinakuja na muda usiozidi lisaa, baada ya hapo mtakemea kwa uovu mlioufanya ndani ya lisaa lizima kisha mashuka yote na nguo ulizozivaa siku hiyo zitakwenda kulowekwa kama sio kutupwa. Anafua sasa, mvivu kama nini!
Anakwambia cha asubuhi ni dhambi, kwamba huwezi anza siku kwa kumtukana Mola. Ameondoka asubuhi ya leo kisa nimemlazimisha cha asubuhi
Akienda church saa 10 unaambiwa anarudi saa 2 kasoro, yaani ni sawa ananiwahi dakika 10 tu kabla ya mimi kufika, ikifika saa 4 anakwambia anaenda kwenye mafunzo ya kanisa ya kinamama, hapo atarudi saa 7 usiku.
Halafu anakwambia tuhame mtaa kwa kuwa usiku anakutana na akina dada wanaojiuza, eti wanamwaribia utakatifu wake anaotoka nao kanisani, anasema tuhamie mtaa X
Je, huu ni uungwana?
Hapana mkuu, mbona maandiko yashafanyiwa updateamri ya sita si inasema MSIZINI au mimi ndo sielewi?
Malaya huyo. Take careAnaniletea sheria za kiwaki ambazo hata kwenye taurati hazipo. Eti kabla ya kufanya mapenzi ni lazima tukakate/ akakate kibali kutoka kwa Mchungaji wake ambacho kitakuwa na muda wa kuanza na kumaliza.
Ni wiki sasa nimevumilia hilo, akija na hicho kibali, mtapiga magoti muombe sana, muda ulioandikwa kwenye kibali ukiisha ndo mwisho wa tendo, kibali huwa kinakuja na muda usiozidi lisaa, baada ya hapo mtakemea kwa uovu mlioufanya ndani ya lisaa lizima kisha mashuka yote na nguo ulizozivaa siku hiyo zitakwenda kulowekwa kama sio kutupwa. Anafua sasa, mvivu kama nini!
Anakwambia cha asubuhi ni dhambi, kwamba huwezi anza siku kwa kumtukana Mola. Ameondoka asubuhi ya leo kisa nimemlazimisha cha asubuhi
Akienda church saa 10 unaambiwa anarudi saa 2 kasoro, yaani ni sawa ananiwahi dakika 10 tu kabla ya mimi kufika, ikifika saa 4 anakwambia anaenda kwenye mafunzo ya kanisa ya kinamama, hapo atarudi saa 7 usiku.
Halafu anakwambia tuhame mtaa kwa kuwa usiku anakutana na akina dada wanaojiuza, eti wanamwaribia utakatifu wake anaotoka nao kanisani, anasema tuhamie mtaa X
Je, huu ni uungwana?
😂😂😂 oyaaa nilikuwa sijui aiseeHapana mkuu, mbona maandiko yashafanyiwa update