AMEPATA KAZI LODGE VIPI NIMRUHUSU?

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Wadau kwema aisee nimeona nije nijieleze tu maana maji yamenifika shingoni. Maisha yamekuwa magumu sana kwa upande wetu. Na kama mjuavyo kazi ni kazi tu ili mradi unaingiza chochote kitu vipi nimruhusu? Nashindwa kwelewa
 

Attachments

  • Screenshot_20261031_100526_Chrome.jpg
    173.2 KB · Views: 3
Mkuu ,umechoka auuu?

Mpe pesa kidogo auze dagaa hapo unapoishi.hyo kazi Ina vishawishi utampoteza au utamuacha
 
Wadau kwema aisee nimeona nije nijieleze tu maana maji yamenifika shingoni. Maisha yamekuwa magumu sana kwa upande wetu. Na kama mjuavyo kazi ni kazi tu ili mradi unaingiza chochote kitu vipi nimruhusu? Nashindwa kwelewa
Mwache apige kazi vipi yuko lodge gani mkuu? safi kabisa maisha magumu sana kusaidiana!
 


Ukiniuliza kwa nini ni chai, nitakwambia shemeji hana picha moja tu...

Tunataka picha zake nyingine ili kikao kitoe jibu moja sahihi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…