Amepata uhamisho kwenda Ifunda, maelezo tafadhali

Amepata uhamisho kwenda Ifunda, maelezo tafadhali

Mwakapesa II

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
554
Reaction score
915
Habari zenu!
Jamani naombeni msaada kuna mdogo wangu yupo kidato cha tano alipangiwa kusoma Temeke high school lakini alituma maombi ya uhamisho TAMISEMI kutokana na sababu fulani. Maombi yake yamekubaliwa na wamempangia shule ya Ifunda technical hivyo naomba msaada kwa anayefaham ilipo na usafiri wake/join instructrion na vitu vingine kwani sijui nianzie wapi. Tarehe ya mwisho kuwasili ni 30/7
 
Ifunda ipo IRINGA vijijini kama sijakosea, lazima upande magari ya njia ya mbeya au njombe utateremka kituo kinaitwa IFUNDA hapo hapo utaona kibao cha shule ya IFUNDA.

Watakuja wanaojua maana mimi nipita kama njia tu, sio mzoefu wa maeneo yale
 
Back
Top Bottom