malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Condom nini unasononeka? Mpe avae au mvalisheNdiyo,unawehuka mkuu....si mnasema ukimwi haupo....haya endeleeni kupiga na kavu bila kupima......ila condom nayo daaa!ππ€¨
Mi nikiiona tu nyege zinakataCondom nini unasononeka? Mpe avae au mvalishe
basi muwe mnapima mara kwa maraMi nikiiona tu nyege zinakata
Ili tupate Majibu tuliyoyakosa mwanzo eti?basi muwe mnapima mara kwa mara
Ukiona nini Dudu au condomMi nikiiona tu nyege zinakata
πππIli tupate Majibu tuliyoyakosa mwanzo eti?
Condom mkuuUkiona nini Dudu au condom
Wanadamu tumetofautiana hasa katika Mapokeo ya Taarifa ngumu na ni kweli wapo wengine ukiwaambia jambo fulani ambalo hawakulitegemea wala kujiandaa nalo Kurukwa Kwao kwa Akili lipo na ni lazima.Habar wakuu msaada wenu tafadhali...nna ndugu yangu wakike umri miaka45 amepatwa na ukichaa gafla jioni ya Jana tar28 ..Sasa huyu ndugu yangu nasikia mda mrefu kuwa huwa nimuathirika....je wakuu kunauhusiano wa ukimwi nakupatwa na kichaa
Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu