Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu msaada wenu tafadhali.

Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024.

Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa nimuathirika. Je wakuu kunauhusiano wa ukimwi na kupatwa na kichaa.

Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu
 
Inawezekana sana, kama hatumii dawa Hawa wadudu sijui kwanini wanaleta tatizo akilini, nna cases mbili za watu kuchanganyikiwa sababu walikua positive alafu hawatumii dawa


Kama Yuko positive mshaurini atumie dawa baada ya muda akili zitakaa sawa tu
 
_20240130_235257.JPG
 
Habar wakuu msaada wenu tafadhali...nna ndugu yangu wakike umri miaka45 amepatwa na ukichaa gafla jioni ya Jana tar28 ..Sasa huyu ndugu yangu nasikia mda mrefu kuwa huwa nimuathirika....je wakuu kunauhusiano wa ukimwi nakupatwa na kichaa
Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu
Wanadamu tumetofautiana hasa katika Mapokeo ya Taarifa ngumu na ni kweli wapo wengine ukiwaambia jambo fulani ambalo hawakulitegemea wala kujiandaa nalo Kurukwa Kwao kwa Akili lipo na ni lazima.

Kwa mfano leo hii Mimi GENTAMYCINE itokee nimepona UKIMWI halafu nikaambiwa NIMEATHIRIKA kutokana na kupenda Kwangu Mbunye ( K ) kuliko hata Chakula wala SITOSHTUKA kwakuwa najua Siku zote tu ukipanda Mahindi utavuna Mahindi.
 
Back
Top Bottom