Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Bila shaka aliacha kutumia ARV
 
Inawezekana sana, kama hatumii dawa Hawa wadudu sijui kwanini wanaleta tatizo akilini, nna cases mbili za watu kuchanganyikiwa sababu walikua positive alafu hawatumii dawa

Kama Yuko positive mshaurini atumie dawa baada ya muda akili zitakaa sawa tu
Hio ni meningitis wadudu wameenda kwenye layer ya ubongo

Hapa lazma atibiwe mengitis na aendelee na dawa

Akichelewa TB na maheperzoster yamaanza nayo
 
Hio ni meningitis wadudu wameenda kwenye layer ya ubongo

Hapa lazma atibiwe mengitis na aendelee na dawa

Akichelewa TB na maheperzoster yamaanza nayo
Fungal Meningitis

Meningitis caused by fungi is rare, but people can get it by inhaling fungal spores from the environment. People with certain medical conditions, like diabetes, cancer, or HIV, are at higher risk of fungal meningitis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…