Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Habar wakuu msaada wenu tafadhali...nna ndugu yangu wakike umri miaka45 amepatwa na ukichaa gafla jioni ya Jana tar28 ..Sasa huyu ndugu yangu nasikia mda mrefu kuwa huwa nimuathirika....je wakuu kunauhusiano wa ukimwi nakupatwa na kichaa
Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu
Bila shaka aliacha kutumia ARV
 
Inawezekana sana, kama hatumii dawa Hawa wadudu sijui kwanini wanaleta tatizo akilini, nna cases mbili za watu kuchanganyikiwa sababu walikua positive alafu hawatumii dawa

Kama Yuko positive mshaurini atumie dawa baada ya muda akili zitakaa sawa tu
Hio ni meningitis wadudu wameenda kwenye layer ya ubongo

Hapa lazma atibiwe mengitis na aendelee na dawa

Akichelewa TB na maheperzoster yamaanza nayo
 
Hio ni meningitis wadudu wameenda kwenye layer ya ubongo

Hapa lazma atibiwe mengitis na aendelee na dawa

Akichelewa TB na maheperzoster yamaanza nayo
Fungal Meningitis

Meningitis caused by fungi is rare, but people can get it by inhaling fungal spores from the environment. People with certain medical conditions, like diabetes, cancer, or HIV, are at higher risk of fungal meningitis.
 
Back
Top Bottom