Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI


Inawezekana kabisa ukichaa wakati mwingine ni kushindwa tu kuhimili changamoto, matatizo yanayokuzunguka. Ushauri, mazingira sahihi, dawa sahihi vitamsaidia kurudi kwenye hali yake.
 
I remember those days tupo intern my colleague aliua mtu kwa bahati mbaya
Pt presented with mental deficits & hallucinations
Jamaa akadiagnose Severe malaria akaintervene na anti malaria
Pt died
kumbe alikua kama huyo sero converted
COD ; CRYPTOCOCCAL MENINGITIS
 
Umeshtuka kama mimi? Aisee ngoma sio ya kupuuzwa hata kidogo, now naogopa ngono kabisa yani.
Nadhani wewe huogopi mkuu😃😃.. Huu ugonjwa usikie tu kwa watu, tena omba sana Mungu usiingie kwenye ukoo wenu maana nahisi inakuwaga kama laana sijui, kuna baadhi ya watu karibu familia nzima unaskia za chinichini kua wameungua
 
Huyu ni mzabzab ndio maana hapatikani JF sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…