Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

Habar wakuu msaada wenu tafadhali.

Nna ndugu yangu wa kike umri miaka 45 amepatwa na ukichaa ghafla jioni ya Jana, January 28, 2024.

Sasa huyu ndugu yangu nasikia muda mrefu kuwa huwa nimuathirika. Je wakuu kunauhusiano wa ukimwi na kupatwa na kichaa.

Msaada wenu wakimawazo kwa anaefahamu
Ukitumia ARV kisha uache wengi hupata fungus ya ubongo wanaishia kuwehuka na kufa kwa mateso jamani usiache kumeza dawa ni hatari kuliko kabla hujaanza kumeza ukianza usiache mpaka siku unakufa.
 
Cryptococcal meningitis is caused by a fungus and leads to serious inflammation of the spinal cord and brain. A parasite can cause an infection called toxoplasma encephalitis, which often leads to confusion, seizures, and extremely painful headaches. Both of these infections can be life-threatening.
 
Back
Top Bottom