Amepewa Gari la Bure kali Tumia Baadae analichoma moto?

BIG STONE AND CONER STONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
421
Reaction score
728
Hivi Huyo kijana wa Mwanza amechoma mercedes benz
Kwann asingepeka kwa watumishi wakiliombea au akawapa msaada watumishi wa Mungu wa Huko vijijini angepata dhawabu
Kitendo hicho kitakuwa na madhara kwake kiroho au kiuhalisia Directly au indirectly
Ni bora angeomba ushauri mtandaoni kabla ya kuchoma na kuonesha mtandaoni
Au angerudisha tu Huko aliko litoa sio mbaya.
Tatizo ni mtu anaependa sana attention na Ana kiburi
Kuaribu mali?
Kwa mikono yake!!

Soma: Muimbaji wa injili GodLucky achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Soma: Sio kosa mtu kuchoma mali yake
 
Bora angemrudishia aliyempa, ila kutakuwa na jambo Ulimwengu wa roho linaendelea
 
Hivi Huyo kijana wa Mwanza amechoma mercedes benz
Kwann asingepeka kwa watumishi wakiliombea au akawapa msaada watumishi wa Mungu wa Huko vijijini angepata dhawabu
Kitendo hicho kitakuwa na madhara kwake kiroho au kiuhalisia Directly au indirectly
Ni bora angeomba ushauri mtandaoni kabla ya kuchoma na kuonesha mtandaoni
Au angerudisha tu Huko aliko litoa sio mbaya.
Tatizo ni mtu anaependa sana attention na Ana kiburi
Kuaribu mali?
Kwa mikono yake!!

Soma: Muimbaji wa injili GodLucky achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Soma: Sio kosa mtu kuchoma mali yake
Bure is expensive. Wengi hawatamwelewa huyo kijana kwasababu mnamwamini sana huyo aliyetoa hilo gari. Siri anayo mwenyewe hivyo msishangae.
N. B Ogopa sana kuunganishwa na kuzimu huku hujui chochote.
 
Hivi Huyo kijana wa Mwanza amechoma mercedes benz
Kwann asingepeka kwa watumishi wakiliombea au akawapa msaada watumishi wa Mungu wa Huko vijijini angepata dhawabu
Kitendo hicho kitakuwa na madhara kwake kiroho au kiuhalisia Directly au indirectly
Ni bora angeomba ushauri mtandaoni kabla ya kuchoma na kuonesha mtandaoni
Au angerudisha tu Huko aliko litoa sio mbaya.
Tatizo ni mtu anaependa sana attention na Ana kiburi
Kuaribu mali?
Kwa mikono yake!!

Soma: Muimbaji wa injili GodLucky achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Soma: Sio kosa mtu kuchoma mali yake
Gari ni mali Yake na anahaki ya kulifanyia chochote ilimradi hajavunja Sheria.Punguza Shobo zisizo na msingi..Yaani Kwa kauli yako "Gali Kali" utaolewa
 
Jamaa Jana pale Clouds FM kasema Mungu alimwambie asiendelee kutumia hiyo gari maana inaeza kumsababishia majanga huko mbele
 
Hivi Huyo kijana wa Mwanza amechoma mercedes benz
Kwann asingepeka kwa watumishi wakiliombea au akawapa msaada watumishi wa Mungu wa Huko vijijini angepata dhawabu
Kitendo hicho kitakuwa na madhara kwake kiroho au kiuhalisia Directly au indirectly
Ni bora angeomba ushauri mtandaoni kabla ya kuchoma na kuonesha mtandaoni
Au angerudisha tu Huko aliko litoa sio mbaya.
Tatizo ni mtu anaependa sana attention na Ana kiburi
Kuaribu mali?
Kwa mikono yake!!

Soma: Muimbaji wa injili GodLucky achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji

Soma: Sio kosa mtu kuchoma mali yake
Pia soma

AMEJITAMBUA KIROHO ila kwa kuchelewa angeweza kuepuka kutumika katika hiyo madhabahu mapema sana,kwa walio na macho ya rohoni na wenye uelewa na mambo ya kiroho,huwezi kushiriki madhabahu za mitume na manabii wa uongo ambao BIBLIA imewasema watatokea na watawadanganya wengi na imeandika namna ya kuwatambua kwa matendo ,kwa hawa mitume na manabii kama una macho ya roho na sio kazi sana kuwatambua hata kwa matendo yao tu na mafundisho yao potofu,amefanya vizuri kujitambua ,hongera kwa yeye kupata hiyo NEEMA YA KUJITAMBUA ili asiangamie kwa kukosa maarifa.
 
Kweli kuna baadhi ya mitume na manabii na ma pastor wa uongo kidogo ili kuwabaini kuwa mafundisho yao ni ya uongo inahitaji uwe na uelewa mpana wa neno na umeiva katika mambo ya kiroho maana uongo wao kidogo ni TECHNICAL kwa waumini wengi wachanga kiroho bao ndio kundi kubwa ni ngumu kuwagundua kama pastor TONI,late TB Joshua ,Mwamposa N.K
Ila manabii wengine wa uongo kuwatambua sio kazi hata kidogo,mfano kiboko ya wachawi,mwamposa,nabii mkuu,zumaridi,N.K ambao hawa hata kichaa tu anaweza kuwatambua kuwa ni mitume na manabii wa uongo KIRAHISI SANA akaona kuwa huyu sio ,hata watu wasio waumini wa dini ya kikiristo wanaweza kuwatambua kirahisi sana, mana matendo yao na mafundishi yao potofu yanajidhihirisha wazi kabisa hata kichaa tu anaweza akajua haya mafundisho yake siyo ya Mungu.

mifano michache inayojidhihirisha inayopingana na NENO..anaweka ma 1)MASHINDANO YA U MISS ?MADHABAHUNI miss waliovaa kidunia kuonyesha .
2)KUSEMA YESU AKIRUDI ATAPANDA GARI LAKE?
3)KURUHUSU mke wa mtu aonyeshe sehemu ya mwili wake ULIOCHORWA TATOO kuchora miili hairuhusiwi wala kuchanja chale?
n.k
Kuna baadhi ya mitume na manabii na ma pastor wao wanajificha kidogo upotofu wao kidogo ni TECHINICAL KUWATAMBUA lakini wengine ni too obvious hata kichaa tu anajua huyu sio mtumishi wa Mungu.

View: https://youtu.be/FwGVRpwJris?si=YtN5aMYwT22-IF9t

View: https://youtu.be/6Cb-VnLlls4?si=nFurP1RiGzb3ntMH
 
Gari ni mali Yake na anahaki ya kulifanyia chochote ilimradi hajavunja Sheria.Punguza Shobo zisizo na msingi..Yaani Kwa kauli yako "Gali Kali" utaolewa
Wengi mnapuyanga tu bila kujua chochote kuhusu jinai ya kuharibu mali. Haijalishi ni ya kwako ama ya mtu mwingine.
 
Maswali magumu ni kama haya;
je huyo kijana aliomba hiyo zawadi ya gari?
je hakuna wahitaji wengine hapo kanisani wa kupewa misaada? kwa nini kwa huyo kijana na sio muumini wake?
Hivi ukipewa zawadi umiliki unakuwa wa nani? mtoaji au wa umma?
hivi kwa nini usiende wewe kupewa na usilichome?
 
Gari ni mali Yake na anahaki ya kulifanyia chochote ilimradi hajavunja Sheria.Punguza Shobo zisizo na msingi..Yaani Kwa kauli yako "Gali Kali" utaolewa
Hapo kwenye Sheria, tayari ana kosa la kujibu. Shtaka lake ni Kosa la Uharibifu wa Mali. Ni vile tuu sio Mwanachadema Maarufu.
 
Back
Top Bottom