Amepewa Gari la Bure kali Tumia Baadae analichoma moto?

Amepewa Gari la Bure kali Tumia Baadae analichoma moto?

Amelitumia kuanzia 2021,kiuhasibu hyo gari imeshafika level ya disposable value ndo anaichoma.
Yaani miaka 3 au mi4 gari iwe disposable? Hata gari za mashindano haziwi disposable kwa umri huo
 
Mimi nilifikiri kama ni muumini wa kweli, basi alitakiwa aende akaombewe kwa nabii mwingine, ili nyota yake irudi badala ya kuchoma gari.
 
Back
Top Bottom