N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jan 28, 2025 #21 Hassani said: Amelitumia kuanzia 2021,kiuhasibu hyo gari imeshafika level ya disposable value ndo anaichoma. Click to expand... Yaani miaka 3 au mi4 gari iwe disposable? Hata gari za mashindano haziwi disposable kwa umri huo
Hassani said: Amelitumia kuanzia 2021,kiuhasibu hyo gari imeshafika level ya disposable value ndo anaichoma. Click to expand... Yaani miaka 3 au mi4 gari iwe disposable? Hata gari za mashindano haziwi disposable kwa umri huo
DCI Comrade One JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 557 Reaction score 718 Jan 29, 2025 #22 Sakasaka Mao said: Wengi mnapuyanga tu bila kujua chochote kuhusu jinai ya kuharibu mali. Haijalishi ni ya kwako ama ya mtu mwingine. Click to expand... Haya wewe usiyopuyanga njoo zako sasa
Sakasaka Mao said: Wengi mnapuyanga tu bila kujua chochote kuhusu jinai ya kuharibu mali. Haijalishi ni ya kwako ama ya mtu mwingine. Click to expand... Haya wewe usiyopuyanga njoo zako sasa
DCI Comrade One JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 557 Reaction score 718 Jan 29, 2025 #23 NkumbiSon said: Hapo kwenye Sheria, tayari ana kosa la kujibu. Shtaka lake ni Kosa la Uharibifu wa Mali. Ni vile tuu sio Mwanachadema Maarufu. Click to expand... Mali ya Nani?
NkumbiSon said: Hapo kwenye Sheria, tayari ana kosa la kujibu. Shtaka lake ni Kosa la Uharibifu wa Mali. Ni vile tuu sio Mwanachadema Maarufu. Click to expand... Mali ya Nani?
M missongika JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 341 Reaction score 409 Jan 29, 2025 #24 Mimi nilifikiri kama ni muumini wa kweli, basi alitakiwa aende akaombewe kwa nabii mwingine, ili nyota yake irudi badala ya kuchoma gari.
Mimi nilifikiri kama ni muumini wa kweli, basi alitakiwa aende akaombewe kwa nabii mwingine, ili nyota yake irudi badala ya kuchoma gari.