America debates: CNN Poll results on who won the debate: Joe 60%, Trump 28% in a chaotic and combative debate

Yani Trump amuogope Biden?
We jamaa hauko serious wakati Biden ndiye alitaka kukwepa

Biden hamwogopi wala kumheshimu rais Trump, Trump naye hamwogopi wala kumheshimu Biden. Ukijipata hapo unatazamia nini kufanyika? Mimi sio mfuasi wa yeyote hapo. Au unataka kumpa nani ubabe hapo... Hadi sasa hakuna poll inaonyesha Trump alishinda debate ya kwanza
 
Neno 'analytical mind' kumbe siku hizi limepoteza maana yake.
 
Trump:I paid millions of dollars in income tax.

Joe:Show Us your tax returns man.

Hahahah
 
Sijazungumzia polls, heshima wala mshindi wa jana. Nimesema Trump haogopi hata kidogo kufanya debate na Biden. Haogopi kabisa
 

Huku ni wapi ulikoenda? Ati kuna wale walio na special genes/damu ya ubongo? Alafu ukishaanza kuwapanga wajerumani kuwa kwanza sisi huku Afrika tutakuwa katikati au mwisho? Mjadala baina ya marais wapaswa kuwa na heshima na hoja bora. Haya hayakuwepo katika mjadala huo na ni wengi ambao wamekubaliana na mtazamo huu. Malengo ya marekani yanajulikana kwa vyama viwili vya marekani tayari hivyo basi sio mengi yatakuwa mageni pale. Wale walikuwa wanatazamia kuona mjadala wa hoja kali au intellectual walikuwa disapointed sana. Kura atipata Biden kwa sababu TRump alivyo sismamishwa na corona.
 
Biden hamuwezi Trump, he is too shallow.
Angalau Hillary.
Huyu hamuwezi kabisa.

Hasa kwenye suala la corona Biden alipwaya.
 
Covid-19 and George Floyd Death in US imemharibia sana Trump, otherwise Biden asingeweza mshinda Trump. Biden sio mtu mzuri ktk uongozi, hana maamuzi na sio kiongozi, he depends on Obama, almost kila kitu kwa ushauri.
 
Trump akiwa anaongea bana utasema ni msela fulani kutoka Bronx anapiga stori na washkaji zake kijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…