Bwana Trump aliishia kutukana na kusema uongo, kutumia nguvu ku present urguments, interference kwa mwenzake wakati anaongea ... na vitu kama hivyo.! Hayo ndiyo matokeo ya CNN Instant poll!
Debate za enzi hizo shuleni... Nani opposer na nani proposer?
===
Utakuwa unakumbuka midahala enzi za shule, moja kati ya mada kubwa ambayo watu wengi waliwahi kujadili katika maisha ya shule ni hii ya ‘Education is better than money’
Kila mmoja alikuwa na upande wake. Katika maisha halisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.