America Embassy, on the issue of the corona virus, you are puting your knees on our necks we can't breath

Kama wewe ndy lecturer unayetegemewa kufundisha vijana wetu kingereza,,,,basi tutaendelea kuwa mazuzu ya kingereza kila siku.....mkuu kwakweli uliandika takataka tupu...sentence hazina viunganishi,,wewe unaandika tu...yaani ndy unajiona ni fundi wa kingereza kukosoa wenzio... Sasa mbona umekuja na kuandika kiswahili,,,, jifunze kuheshimu nyuzi za wenzio,,pia elewa English ni lugha kama lugha zingine ,,wewe unayesema mimi sijasoma unanijuwa level yangu ya shule? kama English yenyewe ndy hiyo ya kuburuza maneno na kuruka viunganishi ,,,,bila Shaka hata hyo shule yako pengine hivyo vyeti vyako umevipata kwa kupakatwa na maprofessor....hivi unadhani kuongea kingereza ndy kwenda shule? hiyo ni lugha tu ..kama zingine,, ,,watu wanajivunia maarifa na akili walizokuwa Nazo na sio lugha...tena lugha yenyewe hujuwi....
 
Wanatuzidi wapi? Just grow up!
 

Good stuff my country man, keep it up, we have a mountain to climb.
 
Wanatuzidi wapi? Just grow up!
Sentensi yako imejaa choyo na kijicho na roho ya kwanini kwa aliekupita

Yaani unaacha your feelings zi-cloud your judgement wakati stats au takwimu zipo and numbers dont lie.

Number inasema uchumi wa Kenya ni 99Bil USD na TZ ni 48Bil USD,yaani twice our economy then wewe kwavile huwapendi Wakenya tu unasema hawajakuzidi kiuchumi?

Kuwachukia Wakenya ni jambo jingine na empirical facts ni ishu zingine,no need to love anybody,issue ni numbers speak for themselves,whether you like it or not.

Wewe kuandika hapa eti hawajakupita haijalishi,numbers stand whether we like it or not.

Mimi jirani yangu akinipita kiuchumi sina haja ya kua kwenye denial just to satisfy my stupid brain,lazima nikubali,then nijipange na mimi kua bora zaidi yake and not otherwise!

Mimi ni mTZ ila siwezi kukaa hapa niwaonee kijicho waliotupita kwa kua kwenye denial na cold hard stats,siwezi!Sana sana nitajifunza na kukaza na mimi niwapite.

Maccm na ma-Magufuli apologists ni very stupid people,they think what their hearts tell them is the universal truth not thinking they are living in their own bubble!
 

Now compare with what you said before:


How does that relate to your narrative above? You are an absolute idiot!
 
Now compare with what you said before:



How does that relate to your narrative above? You are an absolute idiot!
Wametupita in combating COVID-19,na sisi what we do?

Kusali na kujifukiza.

Na kusali hua inaua virusi vya magonjwa?

You are thre bigger idiot here!
 
You deserve to be ignored officially.
Who cares what you decide on anything?

Au unadhani,I do care what you decide to do with anything?

I dont need your information kuhusu chochote unachotaka kufanya...

Eti "ignored officially",and nani kakwambia mpaka uniambie?

Do you need approval from me?

Huna haja ya kuniambia,just do it right up kwasababu you dont need any approval from anybody.

It shows you are full of self doubts thats you need me to approve that.

Look at this nigga,still sleeping!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…