Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Bila Mzungu Africa yoote Imeteketea kwa HIVSisi bado ni watoto kwenu ata kama tumepishana kauli bado tunakumbuka hisani zenu, mlitutoa Utumwani, mkatufungulia dunia kwa utandawazi, mkatusaidia kupambana na HIV, na Mbu pia.
Ya kafanyaje? Hata HIV Alisema hivyo
HIV pia ni project ya Marekani...Ya kafanyaje? Hata HIV Alisema hivyo
Ndiye anawatuma mtombane?HIV pia ni project ya Marekani...
swali lako linasanifu majibu baada ya kuwekwa kirusi.Ndiye anawatuma mtombane?
Acheni kutombana hovyo ili project yake ifeswali lako linasanifu majibu baada ya kuwekwa kirusi.
saada kwa paka?msaada ndo nachoomba
Da!!! unanikumbusha mzee mmoja toka dododma alikuwa anatega pale mnazi mmoja,jina lake alikuwa akiitwa matonya!!haijalishi ilimradi tumevuka sasa tuangamiee hivi hivi tu pasipp hata kujitetea
ukweli mchungu huu zaidi ya krorokwini. sijui tutatokaje hapa????? ni kama kizazi hiki na viwili ama vitatu vijavyo vifutwe then kiletwe kizazi pure . dah nawaza mbali maana sioni namna ya sisi kukuwa . tunazunguka kwenye parten zilezile miaka nenda rudi.Africa tumeshachelewa Majira yameshatupita Hatuwezi na Hatutaweza kamwe. Na kuhusu kuziwajibisha Serikali zetu ni jambo la Hatari sana kujitakia mwenyewe na ndugu zako. Huku Africa watu tunaiomba na kushukuru serikali katika kutekeleza majukumu yake. Narudia ni Jambo la Hatari sana kuikosoa serikali hadharani ni Heri ukavute sharubu za Simba ambaye atadilo na wewe tu.
Hii Africa yaweza zaidi ya shithole kama tusipopata msaada wa haraka: three in one : El nino, Ebola, mfumuko wa bei