American billionaire Victoria Mars in Kenya for $70 million factory in Nairobi

American billionaire Victoria Mars in Kenya for $70 million factory in Nairobi

Naamini kwa maendeleo ya nchi lakini kwa hili la chewing gum hapana
Ni uchafu utakao zagaa kila sehemu kunzia barabarani mpaka kwenye mito

Hii italeta madhara kwa wanyama na ndege this is fact ndege wengi watakufa kwa kula hizo jojo
Lakini ingawa biashara mtu anaangalia faida yake bila kujali environments
Hongereni
Lakini mimi napenda zaidi chocolate
Maskini ndege hao watakaomeza hizo gum na kupoteza uhai who cares?

Umesema hoja nzuri ya kujali mazingira. Lakini kumbuka hizo jojo tayari ziko nyumbani kabla hii kampuni kujengwa.
Natumai nchi zitafuatilia hiyo hoja yako ya kufikiria mazingira. Najuwa nchi ya Singapore huko kula jojo yeyote ni hatia kisheria, zimepigwa marufuka kabisa na nchi nayo iko safi kabisa. Nimefurahi kusikia ukitaja masilahi ya ndege, sio watu wengi hufikiria ndege wakifikiria mazingira 😉
 
While Kenya is building these kinds factories, in some other country a juice blender is hailed as a factory. Tafakari hayo
 
Back
Top Bottom