Saudi Arabia na Iran kuchinja watu ni ibada kanisa na ukitaka kuchinjwa kama kuku jaribu kujifanya kuandamana kwenye nchi hizo kupinga tawala zao za kinyama.
Marekani hata wazamiaji tu waliokimbia hizo tawala za kidhalimu wanaruhusiwa kuandamana, ni ajabu kwelikweli.