American President - Donald Trump explains his statement against Africans:

American President - Donald Trump explains his statement against Africans:

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
"If after 50 years of independence you have not built the necessary infrastructure for your people, are you humans?

"If you sit on gold, diamond, oil, manganese, uranium... and your people don't have food, are you humans?

"If to stay in power, you buy weapons from strangers to kill your own citizens, are you humans?

"If your only social project is to stay in power for life, are you being human?

"If you despise and shoot your own citizens like game, who will respect them?"

"if you take all resources meant for development of your country for personal property are you humans?

" if you leave your country healthcare unattended and treat yourself abroad are you humans?

"Until your leaders think less of themselves and more about your people. You are not human but animal.

👍🏿Think about this and share.
 
Ajitathimini kwanza kwa nn yeye anaua watu ovyo kutoka nchi za kiarabu,Is he a human?
 
If your only social project is to stay in power for life, are you being human?
 
Sometimes mad person would speak logic things but Only few and elites people would understand what within his Word, what he meant by his statements, oly few will understand especially may be his fellow.......

This Is deliberately facts about we africans On how stupidy they had since independence.... problem is who said this Things....
 
Ukiwa karibu na mgufuli akisoma huu ujumbe unadhani ata react vipi!?
 
Ukiwa karibu na mgufuli akisoma huu ujumbe unadhani ata react vipi!?
Rais Magufuli ni Kiongozi bora kabisa katika Afrika, hayo yote yaliyoandikwa hapo hakuna hata moja linamgusa. Hakika ni Rais bora kutokea Afrika na dunia inajua hivyo. Kasoro ile roho inayotawala Ufipa.Biblia inasema upinzani unatoka kwa shetani.
 
".....nakupa gari ya kutembelea, nakupa mshahara, nakupa nyumba halafu umtamgaze mpinzani" mwisho wa kumnukuu.

Huyo ndio jinamizi bora wako si eti
 
Dah! Sijawahi sikia ukweli unaouma kama huu! Yaani imeniuma kweli, lakini sina la kufanya maana ni ukweli usiopingika.
 
Lumumba huwezi waona hapa kwakuwa uzi umeandikwa kwa kiingereza
 
Rais Magufuli ni Kiongozi bora kabisa katika Afrika, hayo yote yaliyoandikwa hapo hakuna hata moja linamgusa. Hakika ni Rais bora kutokea Afrika na dunia inajua hivyo. Kasoro ile roho inayotawala Ufipa.Biblia inasema upinzani unatoka kwa shetani.
Kupenda chongo, huita kengeza.
 
Ajitathimini kwanza kwa nn yeye anaua watu ovyo kutoka nchi za kiarabu,Is he a human?
Pamoja na yote lazima tujipime wenyewe, je watawala wengi wa huku Afrika wapo hivyo? Na kama wapo hivyo hill la Trump na nchi za Kiarabu haliwezi kuhalalisha kuwa na watawala walio kwa jinsi hiyo alosema yeye wapo sahihi. Halafu tumkumbuke huyu Trump alishasema kwamba katika utawala ama uongozi wake atakuwa anajali maslahi ya Marekani kwanza, bila kujali ni kwa gharama gani, na si maslahi yake binafsi wala ya chama chake; jambo ambalo kwa viongozi ama watawala wengi wa Afrika ni msamiati mgumu kwao.
 
".....nakupa gari ya kutembelea, nakupa mshahara, nakupa nyumba halafu umtamgaze mpinzani" mwisho wa kumnukuu.

Huyo ndio jinamizi bora wako si eti
Huo ni ushihirisho wa utawala wa ukatili na udikteta wa kisiasa ndani ya nchi inayojigamba ya kidemokrasia
 
Back
Top Bottom