Juakali1980
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 798
- 506
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kawaida tu boss, hapa bongo wameshapiga show kina jay z, Bennie man, brick & Lace, Michael Jackson, na wengine kibao,kuwa mpole wewe...hivi hamjawahi andaa tamasha mkaleta wasanii kutoka nje na wenu wakakua curtain raisers
Jamaaa ona hata aibu basii akii.. Kiba yupo tang 2003 kwa mziki ila ni majuzi ndo amepata Chance ya ku perform na Chris Brown asee..Duh itakua show ya kufa mtu, vipi team Mondi lazima mtachukia maana Kiba ndo kaalikwa. Halafu wataishi kwenye English Point Marina picha yake chini hapa. Yaani Kiba kajituma sana jamaa, miaka yote hii bado star, amedumisha kwa muda mrefu.
![]()
hujanielewa... nimesema hao wasanii watz hawakuurtain raise apo?sijasema hawajaja.mwenzako amesema tunafagilia wasanii wanje huku wetu wakiwa nyumanyumaMbona kawaida tu boss, hapa bongo wameshapiga show kina jay z, Bennie man, brick & Lace, Michael Jackson, na wengine kibao,
Ni jambo la kawaida sana na sioni jipya hapo