Amerudi analia, anatia huruma...

Amerudi analia, anatia huruma...

Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Njoo kwangu babe..😋 mie sina pesa, sina gari, sina nyumba, sina kazi labda niwe kiben9 wako..😊
 
Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu

Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa lakini alibadilika akawa na mtuu ambae ni jama yakewa utotoni.

But naona kajileta kwangu mahaba kama yote sms na simu zinamwagika sana sasa nakuwa nashindwa kuelwa nini tatizo au nini kimemkuta au huduma kule hakuna aliniliza sana uyu kenge nawaza nakosa majibu. Sijawai kulipiza ubaya kwa baya.

Je, nimpe nafasi au niendele na mishe zangu za kupiga dudu na kuacha mana yeye ndo alie swababisha?

Nawakaribisha wadau
Huyo mchape kama mara 5 hiv alafu mbwage mshenzi huyo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Mamy kwan kama nakupa 10000 kwa wiki na ndo uwezo wangu nakuwa sijakuhudumia au huduma inaanzia kiasi gani kwa wiki mtuweke wazi tujue
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Umesahau wote wana madem wakali.
Kwani demu mkali yupoje?

Nimependa mtoa mada alivyosema, huyo binti ni mzuri kwa mtazamo wake
 
Pumbavu umpe nafasi anagombea ubunge au
Screenshot_20220312-201220_Instagram.jpg
 
Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu

Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa lakini alibadilika akawa na mtuu ambae ni jama yakewa utotoni.

But naona kajileta kwangu mahaba kama yote sms na simu zinamwagika sana sasa nakuwa nashindwa kuelwa nini tatizo au nini kimemkuta au huduma kule hakuna aliniliza sana uyu kenge nawaza nakosa majibu. Sijawai kulipiza ubaya kwa baya.

Je, nimpe nafasi au niendele na mishe zangu za kupiga dudu na kuacha mana yeye ndo alie swababisha?

Nawakaribisha wadau
Ninachoshangaa Mimi iweje kila Mada/uzi ni wanawake ,wadada ,wasichana ndo wanalia tuu mmh hii ni CHAI na haina sukari iweke kwenye chupa tutaikuta asubuhi
 
Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu

Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa lakini alibadilika akawa na mtuu ambae ni jama yakewa utotoni.

But naona kajileta kwangu mahaba kama yote sms na simu zinamwagika sana sasa nakuwa nashindwa kuelwa nini tatizo au nini kimemkuta au huduma kule hakuna aliniliza sana uyu kenge nawaza nakosa majibu. Sijawai kulipiza ubaya kwa baya.

Je, nimpe nafasi au niendele na mishe zangu za kupiga dudu na kuacha mana yeye ndo alie swababisha?

Nawakaribisha wadau
Amerudi analia sijui nifanyeje...aliponiacha nliumia sana....na chozi la mnyonge haliendi bure yeye.....analia anaomba turudiane ....anatia huruma....huko alikotoka sijui kafanya mangapi.... Lalalalalah ding

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Wakati kutwa wanaponda kuwa hawahudumii wapenzi wao, kumbe wanafiki tu hapa kwa keyboard huko ground wanatoa. Kuna mmoja kamlipia mchepuko 4.8mil kodi ya mwaka ngoja nikamsome
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Hahaha watu wa humu wanaishi maisha ya kusadikika Sana
 
Back
Top Bottom