Amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa vimechambukachambuka, nini tafsiri!

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,694
Reaction score
3,309
Akihojiwa na mwandishi wa BBC. Mheshimiwa Rais amesema hakuweza kukutana na vyama vya siasa vikiwa "VIMECHAMBUKACHAMBUKA"

Nini tafsiri ya neno hilo kutumia kwa kiongozi kama Rais huku akijua vyama vilimuomba kukutana naye akawajibu kwa barua bila kueleza kama vimekaa alivyotamka.
 
Polisi imeungana na CCM kuvichambua chambua...
 
Haaa, mama bwana eti"vimechambuka chambuka"
 
Anatuletea lugha za huko kwao Bububu sisi tutajuaje,tunachotaka demokrasia ya kweli

Vyama viwe vimechambuka au la yeye haimhusu
 
Huyu mama chenga
 
Ogopa sehemu mjane anaitwa Kizuka.Ndio Zanzibar hio.
 
Naogopa kukamatwa usiku...[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
VIMECHAMBUKACHAMBUKA...ni sawa na kusema SASAMBUA
kea maoni yake ni kwamba ilibidi viwe pamoja ndani ya UKAWA
Lakini UKAWA ukasasambuliwa
CUF kikachambuliwa kama karanga
NCCR kikanyambuliwa nyambu
ACT kikasokomezwa kizibo

CHADEMA kikashindikana kusasambuliwa na kuchambuliwa..Wala kusokomezwa covid 19. .HASIRA IKO HAPO!!!
 
Mimi namwona huyu mama amenyambukanyambuka.
So;
Wananchi kuhitaji haki =Kuchambukachambuka.
Rais kutokubali = Kunyambukanyambuka.
Nani ameleta chokochoko hapo.
 
Huyo mama yenu tumeshamchoka na meneno yake ya porojo porojo na kukandamiza wapinzani original wa serikali
 
Eti kwamba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…