Ameshaanza kuunga mkono juhudi na kukiri kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama Ulaya

Hivi ni kwanini unahangaika sana? Halafu ukweli hata hutaki kuusikia.
Hao walioko nyuma wanaimba Raisi raisi ni wale walimpokea airport Sikh ile chukua video ya akitoka airport siku katoka ubelgiji chukua na hiyo ya kariakoo angalia sura wengi utawaona sema hapa nashindwa Ku attach kwenye simu.same faces
 
Kwanza hicho ni kitu ambacho hakiwezekani.
Pili kusumbuka kote huko kunakuongezea nini?
Wewe ulishajua utakayemchagua kutokana na sababu zako na mimi nilishajua nitakayemchagua kutokana na sababu zangu. Nothing more! Nikwambie ukweli kuwa huku Jf kila mmoja alishaamua maana ni sehemu ya jamii ya wanaojielewa. Yani kubishana bishana humu ni kupoteza nguvu na muda bure maana hutoweza kumbadili mtu maana tayari kila mgombea alishajipambanua. Humu Jf unajichosha bure kwakuwa hutoweza kubadili mawazo ya hata mtu mmoja.

Yani ni sawa na mimi nianze kukushawishi eti umpigie kura Lissu. Siwezi maana nitakuwa najichosha bure na hivyo hivyo katu huwezi kunishawishi nimpigie kura Magufuli yani huwezi mpaka siku unakufa.

Humu Jf ni sehemu ngumu sana kubadili mawazo ya mtu. Ni heri ukatumie muda wako kuotesha punje ya harage kwenye Jiwe inaweza kuota kuliko kuutumia huo muda eti umbadilishe mtu kifikra juu ya atakayemchagua kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hilo ni vigumu sana kulifanya kwenye mitandao ya Jf na Twitter ni ngumu mno!

Ukishaelewa hivyo mbona utaishi vizuri sana!
 
Hii likizo ya siku saba inaonekana anaitumia vizuri kujifunza kuelewa nchi yetu sasa hivi iko hali gani baada ya kuiacha miaka mitatu iliyopita. Ndani ya siku moja tu ameshaanza kuunga juhudi za Magufuli kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama ulaya kwa mfano:

1.Kwa mfano amekubali kuwa barabara za mwendo kasi ndizo hata huko ulaya wanatumia kwenye majiji yao. Tofauti tu ni kuwa huko ulaya ziko nyingi. Ameahidi akichaguliwa atazijenga nyingi jijini DSM. Ambacho hajajua ni kwamba JPM alishaanza kuzijenga nyingi tu jijini DSM.

2. Ameahidi pia akichaguliwa atajenga pia reli za jijini (city railways) na city ferries. Ambacho hajajua ni kuwa tayari JPM tayari alishajenga na anaendelea kujenga hizo city railways and ferries. Ingefaa katika kipindi hiki cha likizo wampeleke akazione pia.

3. Ameahidi pia kuwa atabomoa nyumba kadhaa jijini DSM ili kujenga maeneo ya kupumuzikia (city gardens) na kuegesha magari (parking areas) kama ilivyo huko ulaya. Ambacho hajajua ni kwamba JPM tayari alishaanza kufanya kazi hiyo. Aende akatembelee maeneo hayo ambayo yako tayari.

4. Alipotembelea soko la Kariakoo amejifunza kuwa hizo utitiri wa kodi alizokuwa akizilalamikia kwenye kampeni zake hazikuwa za kweli. Amejifunza kuwa mfanya biashara mkubwa (mwenye mtaji unaozidi millioni 20) kodi anayotakiwa kukusanya ni VAT tu ambayo kiwango chake huwekwa na bunge. Mfanya biashara wa kati ambaye mtaji wake ni kuanzia milioni 4 hadi ishirini kodi yake haizidi milioni 5 kwa mwaka na hukokotolewa kutokana na risiti za mauzo yake na mashine za kielekitroniki anazopewa bure na TRA. Mfanyabiashara mdogo aka machinga ambaye mtaji wake hauzidi shilingi millioni 4 yeye hulipa gharama ya kitambulisho tu cha shillingi elfu 20 kwa mwaka. Hii wala siyo kodi bali ni gharama ya kuchapisha kitambulisho hicho. Mfanyabiashara wa aina hiyo ni kama yule dada aliyemuuzia yale maparachichi ambaye alikuwa na furaha tele kutokana na kitambulisho hicho. Anamshangaa anapokilalamikia kwenye kampeni zake.

5. Alipokuwa ndani ya bus la mwendokasi amejifunza kuwa watanzania wanaishi kwa raha na uhuru tele. Hawamuogopi mtu ye yote hadi wale dada walimuchukulia kama cerebity tu na wakaenda kukaa kuchat naye na kupiga selfie. Mke wake itakuwa roho ilimuuma. Huko ulaya hakuna kitu cha namna hiyo. Ukiingia kwenye basi hawasemazani, unasoma gazeti au kitabu tu. Halafu wanasema eti nchi yetu haina furaha eti wao ndiyo wenye furaha, nonsense.

6. Amekubali kuwa ile barabara yetu ya njia 8 hadi 12 ya kutoka Dar hadi Kibaha ni nzuri na kubwa sana ambayo hata huko ulaya hawana.

Hivyo kwa muda mfupi sana baada ya kuona machache sana yaliyofanywa na JPM katika kipindi cha miaka 3 aliyokuwa hayupo nchini, ni wazi kwamba ameshaanza kuunga juhudi. Ameshaanza kukiri maemdeleo ya vitu na kuanza kuahidi kuwa na yeye akichaguliwa atajenga mavitu. Hii likizo ya lazima aliyopewa ni blessing kwake.

Akili zenu huko Ccm, hamkupenda u Rais ugombewe na vyama vingine ?!.

Maghufuli aweza kuwa amefanya mengi, lakini si kigezo cha kotopingwa. Huko akili mmezipeleka wapi
 
Mataga wanajisifu kuwa na grea thinker aina ya dr akili. Ndo maana hata professor Kabudi amefikia hatua kuiiita Muokotwa Jalalani.
 
Hakuna mradi hata mmoja kaanzisha magufuli na kuufanya,kakuta miradi yote ni ya Kikwete...

Thats a sad FACT for all of you clowns...

Its really a sad story for you impostors!
 
Akili zenu huko Ccm, hamkupenda u Rais ugombewe na vyama vingine ?!.

Maghufuli aweza kuwa amefanya mengi, lakini si kigezo cha kotopingwa. Huko akili mmezipeleka wapi
Sasa mbona hueleweki, soma tena ulichoandika! Mmepigwa spana kila kona mmeishiwa kubwabwaja tu! Upinzani ulishajifia toka Dr slaa akivyowakimbia kwa kula matapishi yenu
 
Hii ni serikari ya ccm, magu anatekeleza miradi hadi iliyopangwa na baba wa taifa! Kwa hiyo huna hoja kojoa ukalale!
 
Ujue muda mwingi aliutumia kusikia wenzake wanasimulia anapata vya kuropoka, sasa anajionea mwenyewe kwa macho yake!
Isitoshe jana alikuwa anatengeneza mazingira asisahaulike ktk media za kijamii, ila kajikuta anafurahia alivyovipinga! Maelezo yake twitter hayakuwa tena na negativity hata kidogo!
Mungu ana makusudi yake, jamaa kaishiwa hoja Kabaki kusifia na kuahidi kuongeza, yaani magu kawapiga spana kila kona hawana hoja kabisa
 
Hii ni serikari ya ccm, magu anatekeleza miradi hadi iliyopangwa na baba wa taifa! Kwa hiyo huna hoja kojoa ukalale!
ni serikali mbili tofauti acha ukichaa wewe maiti

Ndio maana serikali ile inaitwa Serikali ya Awamu ya Nne..na Hii inaitwa Serikali ya Awamu ya Tano

Two different serikalis japo chama kilichosaidia kuweka hizi serikali mbili tofauti ni chama cha ccm

Acha ukichaa wewe mataga,akili zipo matakoni ndio shida yenu nyote!
 
Hii likizo ya siku saba inaonekana anaitumia vizuri kujifunza kuelewa nchi yetu sasa hivi iko hali gani baada ya kuiacha miaka mitatu iliyopita. Ndani ya siku moja tu ameshaanza kuunga juhudi za Magufuli kwamba tuko kwenye right track kuelekea kuwa kama ulaya kwa mfano:

1.Kwa mfano amekubali kuwa barabara za mwendo kasi ndizo hata huko ulaya wanatumia kwenye majiji yao. Tofauti tu ni kuwa huko ulaya ziko nyingi. Ameahidi akichaguliwa atazijenga nyingi jijini DSM. Ambacho hajajua ni kwamba JPM alishaanza kuzijenga nyingi tu jijini DSM.

2. Ameahidi pia akichaguliwa atajenga pia reli za jijini (city railways) na city ferries. Ambacho hajajua ni kuwa tayari JPM tayari alishajenga na anaendelea kujenga hizo city railways and ferries. Ingefaa katika kipindi hiki cha likizo wampeleke akazione pia.

3. Ameahidi pia kuwa atabomoa nyumba kadhaa jijini DSM ili kujenga maeneo ya kupumuzikia (city gardens) na kuegesha magari (parking areas) kama ilivyo huko ulaya. Ambacho hajajua ni kwamba JPM tayari alishaanza kufanya kazi hiyo. Aende akatembelee maeneo hayo ambayo yako tayari.

4. Alipotembelea soko la Kariakoo amejifunza kuwa hizo utitiri wa kodi alizokuwa akizilalamikia kwenye kampeni zake hazikuwa za kweli. Amejifunza kuwa mfanya biashara mkubwa (mwenye mtaji unaozidi millioni 20) kodi anayotakiwa kukusanya ni VAT tu ambayo kiwango chake huwekwa na bunge. Mfanya biashara wa kati ambaye mtaji wake ni kuanzia milioni 4 hadi ishirini kodi yake haizidi milioni 5 kwa mwaka na hukokotolewa kutokana na risiti za mauzo yake na mashine za kielekitroniki anazopewa bure na TRA. Mfanyabiashara mdogo aka machinga ambaye mtaji wake hauzidi shilingi millioni 4 yeye hulipa gharama ya kitambulisho tu cha shillingi elfu 20 kwa mwaka. Hii wala siyo kodi bali ni gharama ya kuchapisha kitambulisho hicho. Mfanyabiashara wa aina hiyo ni kama yule dada aliyemuuzia yale maparachichi ambaye alikuwa na furaha tele kutokana na kitambulisho hicho. Anamshangaa anapokilalamikia kwenye kampeni zake.

5. Alipokuwa ndani ya bus la mwendokasi amejifunza kuwa watanzania wanaishi kwa raha na uhuru tele. Hawamuogopi mtu ye yote hadi wale dada walimuchukulia kama cerebity tu na wakaenda kukaa kuchat naye na kupiga selfie. Mke wake itakuwa roho ilimuuma. Huko ulaya hakuna kitu cha namna hiyo. Ukiingia kwenye basi hawasemazani, unasoma gazeti au kitabu tu. Halafu wanasema eti nchi yetu haina furaha eti wao ndiyo wenye furaha, nonsense.

6. Amekubali kuwa ile barabara yetu ya njia 8 hadi 12 ya kutoka Dar hadi Kibaha ni nzuri na kubwa sana ambayo hata huko ulaya hawana.

Hivyo kwa muda mfupi sana baada ya kuona machache sana yaliyofanywa na JPM katika kipindi cha miaka 3 aliyokuwa hayupo nchini, ni wazi kwamba ameshaanza kuunga juhudi. Ameshaanza kukiri maemdeleo ya vitu na kuanza kuahidi kuwa na yeye akichaguliwa atajenga mavitu. Hii likizo ya lazima aliyopewa ni blessing kwake.

Crap!
Mataga grow up
 
Sasa mbona hueleweki, soma tena ulichoandika! Mmepigwa spana kila kona mmeishiwa kubwabwaja tu! Upinzani ulishajifia toka Dr slaa akivyowakimbia kwa kula matapishi yenu
Kweli wewe shambaboy !!. Spana ziko wapi zaidi ya kutumia vyombo vya dola na vya maamuzi ?!. Kama Maghufuli anakubalika na amefanya mengi kwa maoni yenu. Basi uwanja wa siasa za uchaguzi ungekuwa level.

Mtu mwenyewe bila dola hana uwezo wa ushawishi huyo
 
Hakuna mradi hata mmoja kaanzisha magufuli na kuufanya,kakuta miradi yote ni ya Kikwete...

Thats a sad FACT for all of you clowns...

Its really a sad story for you impostors!
Kasome ilani ya uchaguzi ya ccm ya 2015 hadi 2020 utapata jibu.
 
Mungu ana makusudi yake, jamaa kaishiwa hoja Kabaki kusifia na kuahidi kuongeza, yaani magu kawapiga spana kila kona hawana hoja kabisa
Si ajabu baada ya uchaguzi akamkimbia Mbowe na kujiunga na chama dume.
 
Akili zenu huko Ccm, hamkupenda u Rais ugombewe na vyama vingine ?!.

Maghufuli aweza kuwa amefanya mengi, lakini si kigezo cha kotopingwa. Huko akili mmezipeleka wapi
Uongozi wa nchi si wakufanyiwa majaribio.
 
Kesho aende palm village mall akaone wanachi wa uchumi wa Kati wakifanya shopping za mamilioni
 
Uongozi wa nchi si wakufanyiwa majaribio.
Utakuwaje level wakati upande wa pili ulishafilisika kifedha na kiakili. Wengine walishabakiwa na matusi tu na kuomba omba.
Majibu yako yanaonyesha kutokuwa na hekima. Uchaguzi wa nchi si utashi wa mchaguliwa. Ni utaratibu na ni lazima uwe sawa, kama si leo ni kesho. Uhuni wa CCM hauwezi kudumu. Ipo siku akili zitawarudi wananchi
 
Kwanza hicho ni kitu ambacho hakiwezekani.
Pili kusumbuka kote huko kunakuongezea nini?
Wewe ulishajua utakayemchagua kutokana na sababu zako na mimi nilishajua nitakayemchagua kutokana na sababu zangu. Nothing more! Nikwambie ukweli kuwa huku Jf kila mmoja alishaamua maana ni sehemu ya jamii ya wanaojielewa. Yani kubishana bishana humu ni kupoteza nguvu na muda bure maana hutoweza kumbadili mtu maana tayari kila mgombea alishajipambanua. Humu Jf unajichosha bure kwakuwa hutoweza kubadili mawazo ya hata mtu mmoja.

Yani ni sawa na mimi nianze kukushawishi eti umpigie kura Lissu. Siwezi maana nitakuwa najichosha bure na hivyo hivyo katu huwezi kunishawishi nimpigie kura Magufuli yani huwezi mpaka siku unakufa.

Humu Jf ni sehemu ngumu sana kubadili mawazo ya mtu. Ni heri ukatumie muda wako kuotesha punje ya harage kwenye Jiwe inaweza kuota kuliko kuutumia huo muda eti umbadilishe mtu kifikra juu ya atakayemchagua kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hilo ni vigumu sana kulifanya kwenye mitandao ya Jf na Twitter ni ngumu mno!

Ukishaelewa hivyo mbona utaishi vizuri sana!
Sasa mbona nyie ndio mnaongoza kwenye ku post kwenye hizi social media kama twiter na Jf? Yaani chama kama kile cha Mbowe na Zitto hawana ofisi nyingine ye yote isipokuwa mitandao hii.
Yaani Lissu anapokwenda sokoni kariakoo, mlimani city, ndani ya bus la mwendokasi na kila mahali, anakuwa na mtu wa kumpiga picha kwa madhumuni ya kuzirusha kwenye mitandao hii ili na hao waliomtuma akina Robert Amsterdam wazione. Sasa wewe waambie hao kwamba hazina impact yo yote kwao kupata kura. You are quite right. Wanapoteza muda wao bure. Ila wakisha zipost huku ni wajibu wetu kuwajibu kwani tusipofanya hivyo watu wanaweza wakaanza kuamini huo uwongo wanaopost kwamba ni wa kweli.
 
Ila ile ziara ya miguu ukimwangalia Lisu alikuwa kama frustrated Fulani hivi hakutarajia ile cold reception aliyopata toka kwa wananchi eneo lenye watu wengi kama kariakoo

Alienda kariakoo akitegemea labda shughuli zingesimama ingekuwa patashika nguo kuchanika lakini watu wala hawakumshobokea wala kuonyesha kuwa yeye no special Fulani walimchukulia kawaida tu

Halafu alipita pale karibu na kituo cha polisi msimbazi makusudi akitarajia labda kuna polisi wata mind waka mshit alitaka akatafutie umaarufu wa ghafla kariakoo kwenye watu wengi single imebuma

Ndio maaa hata ukiangalia alipohojiwa body language inaonyesha wazi kapanick kafrustrate kuwa I didn't expect to be treated so low kwenye eneo la watu wengi kama hili la kariokoo

Alitegemea kupata grand reception ndio maana aka target kariakoo

Kilichomkuta kimempa jibu la ategemee nini Oktoba 28

Ile ziara sio siri ime do more harm to him than benefit /Aliyemshauri aende kariakoo kamharibia kuanzia mood had I ego yake ndio maana hats ule ubabe babe wake wa kuongea uliyeyukia hewani

His ego from now will be so low

Heri angesikia ushauri wa kubaki ndani tu kipindi hiki cha kufungiwa na tume.Sasa katoka kaenda tu kuibua frustration

Ile confidence aliyokuwa nayo imekuwa shaken up .Kaanza kuwajua vizuri sasa watanzania walioko mtaani sio wale wa mikutanoni walivyo

Kawaona wa mitaani kuwa hawamuoni kama presidential material.

Lisu hao ndio wenyewe wapiga kura wa October 28 wa Dar es salaam
Yaani ni aibu. Diamond angefanya ziara pale Kariakoo reception ambayo angaliipata ni mara 1,000 ya hiyo aliyoipata Tundu Lissu. Hata ka Zuchu kangalimpita mara 100! Atakuwa ametambua level yake. Leo kaenda mlimani city na makamera yake ikawa aibu zaidi. Kaishia kurusha tu clips twa sekunde 30 akipiga picha na watu wasiozidi 10. Alidhani mlimani city angaliisimamisha. Kesho sijui atatembelea eneo gani. Anazidi kujiaibisha tu.
 
Back
Top Bottom