Ameshindwa kwenda chuo kwa sababu ya ada

Ameshindwa kwenda chuo kwa sababu ya ada

Joined
Sep 11, 2014
Posts
47
Reaction score
7
ninarafiki yangu ameishia form four na alipata division two ya point 18 lakin kutokana na matatzo ya kifamilia alishindwa kuendelea na advance,mwaka huu alichaguliwa kujiunga na chuo cha utabibu tandabui mwanza,lakin chakusikitisha hakufanikiwa kwenda coz ya ada.mwenye mawazo yeyote yanayoweza kumsaidia kimawazo na hata katika yeyote ile plz tunaomba mawazo yako ndugu zangu,!
 
sema mwaka alio hitimu kidato cha nne tukushauri....?
 
namshaur asome diploma ya education kwa masomo ya science kwan hao pia wanapatiwa mkopo...au atafute ufadhili ili mradi apate elimu kwan kiwango cha ufaulu wake ni kikubwa na haitapendeza akikaa tu bila kuifanyia kazi akili yake..
 
ndio jinsi gani yakupata ufadhili huu? plz inaniuma sana my classmate kumuona alivyo wakati hastahil kuwa ivo.
 
Akaombe udhamini, Unaweza kumtafutia channel kwa ndugu na watu unaowajua...
Mwambie apigane kufa na kupona aende chuo...utabibu unalipa lipa kidogo atayasahau yote...
 
Back
Top Bottom