Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Vp makampuni ya simu/mobile money hawana huduma hizi?Muhimu ni kwenda bank kufanya negotiation.
Bank hazikatai pesa. Mteja ni mfalme.
Aende Bank ( hasa zisizofanya biashara na serikali kama NMB na CRDB ) akakutane na Bank manager ili apate utaratibu.
Yeye anataka laki saba kila mwezi. Hizo hati fungani zitamuingizia hicho kiasi kwa mwezi?msaidie apate hati fungani atapata hela kila baada ya miezi mitatu mitatu zaidi ya hiyo laki saba.. huku ile mil 80 yake ipo intact !!
Hataki riba, bali anataka asizitumie vibayahamna benk inyoweza kumpa hiyo, hata ile kuu
Hawana hiyo huduma. Hata wao wenyewe wanafanya biashara na banks.Vp makampuni ya simu/mobile money hawana huduma hizi?
Anaogopa kukaa nazo zote atazitumia vibayaBank inamlipaje na pesa ni yake?!,
Sawa mkuuAwekeze kwenye hati fungani za serikali za miaka 20 au miaka 25 awe anakula interest ya 15% au zaid kwa mwaka.
Biashara ya daladala hataki hata kuisikiaMagari mabovu hayaoni
Watamlipa on time?Mwambie anunue BOND za BOT kwa milioni 80 atakuwa anapata milioni moja kila mwezi na akitaka kuuza anauza wakati wowote.
ni kweli, benki nyingi zinatoa faida ya 8 - 12% kwa mwaka huku zenyewe zikipata 18 - 20%.hamna benk inyoweza kumpa hiyo, hata ile kuu