Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

Sasa Mkuu kama ni member wa chaputa bado atakuwa na huo utoko?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah, sasa unataka mabinti wasiwe wananyoa, hii nayo kali! Umesikia tunaishi na Wachina sisi!?
 
.
20200508_175756.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
haki wa yote ni simu yake tu.usipo zimia basi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna vitu unadanganya we nae,swala ukubwa wa maumbile ya mwanamke na na kupwaya kwa mwanaume wake hilo lipo tu kuna wanawake wa namna hiyo hasa wanawake weusi wenye maumbile makubwa ya makalio mala nyingi wako hivyo,sasa hii ni kama unaleta na mauongo yako

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
reseach mara zote hupingwa na reseach hivyo sijamuaminisha mtu aamini...
 
Umeamua kutoa siri za kambi?

Ni vema wanaume tukiri tu, hatunaga ujanja mbele ya hawa viumbe "wanawake".

Kimsingi tunafumuliana. Hiyo tabia inaendelezwa zaidi na wanaume...tuache kufumua wanawake wasio wenzi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli...enh...ila inauma zaidi mtu afumui vya wenzake lakini vyakwake vinafumuliwa...inauma sana
 
Hiyo namba 3 umeamua kutuletea experience toka kwa mwanamke wako unataka wote waishi kama muishivyo ninyi?
Upo sahihi mzee, nakuunga mkono, yan anataka kutuaminisha kitu ambacho sio sahihi, kwan lazima mwanake ajinyoe akiwa ktk hedhi? Au ume experience wanawake wenye mavumbi muda wote....??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom