Ni shauri tu, mwanamke aneweza cheat anytime akitaka na akajikausha bila kuonesha sign yoyote ile... (Kwa alie zoea kufanya hv)
Pia kuna kitu kina itwa shabu.. Hyo akitumia ukienda kusex nae unaweza sema bikra maana K ina rud ktk hali ya utoto... Hahhaa
Kingne kama ukihisi mwenzio sio mwaminifu basi temana nae tu ya nn kujitia jaka moyo, kuanza kushikiana simu, kuhoji hoji... We angalia ustaarsbu wako tu,
Na mwanamke akiamua lake mzee yu cant stop her.
Kwa kumalizia mwanamke ukiwa na mwanamke wako mmoja, kama kuna badiliko lolote lile lazima utajua tu wapa haiitaji sayansi kuubwa, na kama yeye pia yuko na wewe tu, siku akitoka kufanya tofauti lazima ajistukie.
Nawasilisha