Huyu kaka nafanya nae kazi ametokea kweli kuuteka moyo wangu, sidhani kama anaelewa hilo ila ninaongea nae kama marafiki wa kawaida. Yani sijawahi kujisikia kama hivi kwa mwanaume mwingine.
So far nimevutiwa nae kwa jinsi alivyo pia hobbies zetu zinaendana. Ni kaka mcheshi, mkarimu, anavaa vizuri&smart(sidhani kama ni mzaire yani anang'aa nje ya nyumba tu).
Sijui kama yupo ''attached'' japo hajaoa kutokana na maongezi tunayokuwa nayo.
Je nimwambie ukweli? au atanifikiriaje?Nitaanzaje?Au nimsubiri azisome hisia?how?
NB: Nipo serious mana naamini hisia zangu za nguvu, namuwazia kuwa baba wa watoto wangu tukijaliwa kuwa wote🙂))
Belinda Jacob, nakuonea raha sana, lazima niwe mkweli kwako, wewe ni miongoni mwa wadada wa humu JF ambao mimi ninawazimia, sikuthubutu hata kufind out kama uko single au la kwasababu It would have made no diference.
Now that you have found love, if he is the choice, please choose your love and love your choice.
Be a modern girl, you can be the initiator usisubiri mpaka yeye ndio akuanze, unaweza kumuanza kwa kumpa ivitationfor lunch, muonyeshee unapenda kuwa karibu nae, ukikutana nae mpe comliments za hapa na pale kama you look good, I like your choice of colour, mkiongeoa nae fikia kiwango unamuona he is easry to talk to, kama kwa yote hayo hajaonyesha dalili yoyote, nenda advance stage.
Toka nae for dinner, try to be as close as you can ili kuamsha spark, ukiweza mshike mkono, crack simple jokes to make him an easy, mkaribishe kwako na kujiachia as free as posible kumpa dalili zote kuwa you are available for him. Kama baada ya yote hayo hata respond, then, he has no spark for you, he is not your man, keep him just as good friends and the spark may grow and love may blossom.
Don't be disapointed na slow response, wanaume wengine ndivyo walivyo, lazima waanze wao, and if that will be case, wewe pia ndio utakuwa kichwa cha nyumba. Amini usiamini, asilimia 80 ya wanaopandishwa altareni, ni mwanamke ndio huwa anajionyesha she is a wife material na wengi huwa wanapressure kutaka ndoa, ndipo nasi hukubali.
This might be your opportunity, seize it!
Go Belinda Go!.