Shosti na wewe bwana...ni huyo tu mmoja sio wote bwana....WaKIUME huyo
Nilitaka kusahau, wengine wanasuka nywele.Halafu mwanaume akiwa hivyo si anajulikana tu! Hereni, cheni vipodozi (vya kike) nasikia hata wale wanaoshushaga suruali chini ya makalio wengine wana maana hiyo. ......... Eti sharobaro kumbe....!
Ningependa kukwambia wengineHutawatambua no matter what..Ninao marafiki zangu mmoja ni CEO waKampuni moja guy kwa muda wa miaka 15lakini cheki wasichana wanavyo mpapatikia.Ukimwona hata ufanye nini hutaweza tambuatambuaNa akikwambia hutakubali.. kazini kwake kila mtu anadhani ana mke..Halafu mwanaume akiwa hivyo si anajulikana tu! Hereni, cheni vipodozi (vya kike) nasikia hata wale wanaoshushaga suruali chini ya makalio wengine wana maana hiyo. ......... Eti sharobaro kumbe....!
Jamaa kani PM eti ni mtoto wa shekh teh! teh! teh!Ooooo,mtoto si rizki.....innalillah waina ilah rajiuunnn....
Punga kama Gadafi bhanaa!daaah yaani husband anakuwa PUNGA kama arafat!!! inatisha sana
Ila wako wengi mjini hapa...na huwezi kuwatambuaShosti na wewe bwana...ni huyo tu mmoja sio wote bwana....WaKIUME huyo
Acha utani mkuu...!mi ningekuwa ndio huyo mdada ningemuomba huyo houseboy akimaliza kumshemperea mume wangu, aje na kwangu pia. Halafu namweleza huyo mume wangu kuwa tangu leo mimi na wewe ni wake wa hausiboy, tujipange ipasavyo kumuhudumia mume wetu.
Hahahahaha.......! Sasa suluhisho ni kufanya kazi za nyumbani mwenyewe...! Lakini si bora house girl kuwa mke mwenzio kuliko mmeo kuwa mke mwenzio?Duh, wanawake mlioolewa mna kazi kweli juu ya nani wa kuajiri kama mfanyakazi wa ndani..
Wa kike baba mwenye nyumba atamla uroda, wa kiume atamla uroda Baba mwenye nyumba..
Salaale........
Bora tubaki na Malaria Sugu pamoja na babu wa Loliondo afe kuliko ushoga uwepo...!Ushoga noma.........
Ushoga haukubaliki.......
Tanzania bila ushoga inawezekana.
mhhh na wewe umezibuka kumbe ?????lol
nilifikiri swala tano tu lol
bibie kumbe mtata.....safi sana!
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?
Ningependa kukwambia wengineHutawatambua no matter what..Ninao marafiki zangu mmoja ni CEO waKampuni moja guy kwa muda wa miaka 15lakini cheki wasichana wanavyo mpapatikia.Ukimwona hata ufanye nini hutaweza tambuatambuaNa akikwambia hutakubali.. kazini kwake kila mtu anadhani ana mke..
Kwani ukisikia mtoto kaharibika" ulikuwa unafikiri ina maana ipi? Ulishawahi kusikia mtoto wa kike akiharibika? Unanchekesha!
Kuharibika ndio huko. Jongoo kutopanda mtungi.