Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

Amfumania mumewe akipopolewa na hausi boy

Ni mambo ya kusikitisha sana lakini kama upo uwezekano ni bora wakae na kuzungumza. Kama Shost (Homo..) atakuwa tayari kubadilika anaweza kupata ushauri nasaha juu ya namna za kuacha aibu anayomtia mkewe. Ikishindikana wasilazimishe. Kuachana pia ni suluhu kwa namna fulani.
1.wazungumze nini??? HAPO NDOA HAIPO.
2.HIYO NI DHAMBI INAYOMKASIRISHA SANA MUNGU. MIJI YA SODOMA NA GOMORA ILICHOMWA MOTO SABABU YA DHAMBI HII. MABASHA
WA MIJI ILE WALITAKA KUWALAWITI HATA MALAIKA WA MUNGU
3.LAKINI PIA SHETANI ANAPENDA SANA WATU WAITENDE DHAMBI HII.
4.WATENDA DHAMBI HII HUWA 100% WANA ROHO YA SHETANI WAKATI HUO WA KITENDO........HUU NI USHETANI.
5.WANYAMA HAWAPANDWI NA ROHO YA KISHETANI NDIO MAANA HUKUTI BEBERU AKIMLAWITI BEBERU MWENZAKE.
 
1.wazungumze nini??? HAPO NDOA HAIPO.
2.HIYO NI DHAMBI INAYOMKASIRISHA SANA MUNGU. MIJI YA SODOMA NA GOMORA ILICHOMWA MOTO SABABU YA DHAMBI HII. MABASHA
WA MIJI ILE WALITAKA KUWALAWITI HATA MALAIKA WA MUNGU
3.LAKINI PIA SHETANI ANAPENDA SANA WATU WAITENDE DHAMBI HII.
4.WATENDA DHAMBI HII HUWA 100% WANA ROHO YA SHETANI WAKATI HUO WA KITENDO........HUU NI USHETANI.
5.WANYAMA HAWAPANDWI NA ROHO YA KISHETANI NDIO MAANA HUKUTI BEBERU AKIMLAWITI BEBERU MWENZAKE.
Kweli kabisa hapo hakuna cha mazungumzo kabisa ni kuondoka tu kukwepa pia aibu kwa jamii na dhambi hiyo kuu
 
Hii kwa kweli inasikitisha, hapo suala ni kuivunja tu hiyo ndoa..
 
mi ningekuwa ndio huyo mdada ningemuomba huyo houseboy akimaliza kumshemperea mume wangu, aje na kwangu pia. Halafu namweleza huyo mume wangu kuwa tangu leo mimi na wewe ni wake wa hausiboy, tujipange ipasavyo kumuhudumia mume wetu.

Ushauri huu!! we ni mwanaume, ungekuwa mdada
isingekuwa rahisi kuandika hivi.
Mdada nampa pole, ajitahidi kumshauri mumewe kuacha tabia hiyo
ili ndoa yao isimame tena.
Handsome je?
 
jamanii!! namapa pole sana uyo dada ila dawa nikuachana na ilo gumegume.
 
Shalom wana jamvi.
Kuna rafiki yangu ameolewa na the most handsome boy, lakini huyu mwanamume tulipokuwa tunasoma chuo ilikuwa inasemekana anapigwa miti na prof.
Baada ya miaka kadhaa tangu tumalize shule akamuoa rafiki yangu, lakini sikuwahi kumjulisha kuwa mumewe chips mayai (anageuzwa).
Juzi kilicho tokea ni kwamba amemfuma laivu mumewe akipigwa fimbo sita assemble (sebuleni) na hausi boy wake, na mke amekosa huduma kwa miezi minne sasa kwa kuwa roketi ya mumewe haipai.
Je kuna uhusiano gani kati ya kugeuzwa na upungufu wa nguvu za kiume?

Wewe unataka kuiasa jamii kuhusu hiyo tabia chafu ya mwanaume kuwa jike au unataka kujua uhusiano uliotaja hapo kwenye red. Nakuuliza kwa sababu inaonyesha concern yako kubwa ni hapo kwenye red na siyo tabia nzima ya kufanyiwa hicho kitendo.

Kwa msimamo wangu huyo mwanaume keshaharibika wala hafai kuitwa mume tena na amemdhalilisha huyo mkewe na I CONDEMN IN THE STRONGEST TERM WANAUME WOOTE WANAOMKOSEA MUNGU KWA KUENDEKEZA HII DHAMBI KUBWA NA KULETA JANGA KUBWA LA AIBU KATIKA NDOA, FAMILIA NA UKOO.
 
mi nikimfuma nanunua doli langu namwambia atulie ndani nimshughulikie aio kuhangaika na kujidhalilisha

hii ni karaha kubwa na kwa mtu mwenye staha na mwenye kujiheshimu ukisikia dume mwenzako anafanyiwa huu mchezo unasikia masikio kuwasha na haingii akilini kuwa anapa raha gani.
 
jamani hapo hakuna ndoa,talaka ilishatoka automaticaly the second dada kaona baba akipopolewa,no discussion,
cha msingi ni kuwaombea wote watatu,dada tumuombee apewe nguvu za kuanza new life without huyo mume mgonjwa,
then baba na houseboy tuwaombee wajue wanachofanya hakikubaliki mbele ya mbingu na hata kuzimu pia wanakionea aibu na ni kitendo pekee kilichopandisha hasira za Mungu kwa kiwango cha juu kuliko vyote,na kitendo ambacho Mungu pamoja na huruma na zake zote alishindwa kukisamehe na kukivumilia.
dunia haijaisha ,kilichokwisha ni woga wa mwanadamu mbele za mungu.
 
Hizi ni ishara za siku za mwisho. Kama mtu yuko makini, atazigundua tu. Lakini nakushauri muombee sana mumeo, ili akitubu kikweli Mungu ni Mwenye REHEMA, HURUMA, NA UPENDO, atamsamehe KABISA!!!! Asipotubu, hukumu iko mbele yake. Jipe moyo, changamka, usikonde. Pole sana. Hayo ni mapito.
 
Hapo hakuna cha kutafuta suluhishi wala nini anza mbele tu maana hukawii kuambiwa ujumuike nao maana mume badae ataishiwa nguvu kabisa atakushauri mabwana zake ulale nao, huyo mdada atoke pima hapo hata asiangalie nyuma
 
hawa ma handsome boys wana zao!!!! sithubutu!!!! mpe pole ndio kuuona ulimwengu na malimwengu!
 
mwambie aachane naye kunguru hafugiki,mashoga nimefanya nao sana kaz but si rahs kuacha.
 
sio na wanaume,
sema na wengine pia...
tafsiri ya mwanaume inabadilika hapo


LOL
kwahiyo huyo siyo mwanaume wakati ana sehemu za siri za kiume???????
Je na wasagaji nao waitwaje?
umenifurahisha sn BOSS
 
Mi sijui hata niseme nini,inakera ulimwengu ulivyo siku hizi!
 
hajakumalizia stori vizuri baada ya kumaliza na mume aliendelea kwa mke yaan ni rubudani tupu..IMO!
 
Back
Top Bottom